Petiman: Bora ninyang'anywe Mke kuliko kuachana na Wema Sepetu

Petiman: Bora ninyang'anywe Mke kuliko kuachana na Wema Sepetu

Sura si imekuja alivyojuana na wema? Ulimuona kabla hajawa n wema? Usinichefue apa nfyu
Hivi Wema akizidiwa jamaa hawezi kupiga issue kimtindo? Pengine ni kazi yake ingine ya siri!
 
Kavira yule handsome boy? Si niliskia kashamfanya mchezo mbaya petii, alitaka ampe dili gani tena??
ndo huyohuyo kavira ila si kweli kama alimfanya mchezo mbaya!alikuwa mtu na boss wake.....dogo anaosha makorongwee kwa style flani ya msofe
 


Mpambe na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi kuachana na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na Mwanamke mwingine..

Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman yupo tayari kunyang'anywa Mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu ..

Petitman ameyasema hayo akiwa na Ommy Dimpoz alipokuwa akitambulisha nyimbo yake mpya katika vyombo mbali mbali vya habari.

Alisema "Mimi na Wema ni Damu Damu ...ila mambo ya mahusiano kila mtu na mambo yake hatuingiliana wala
Hivi sakata la petitman limeishia wapi?
 
Watu wa janja janja Bila kumtaja diamond wimbo haupati kiki eti alivokua akitambulisha nyimbo mpya!shm mfyuuu![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] hakika mondi ni maji usipo mnywa utamuoga usipo muoga utampikia nk...
 
bc9c86811d99c9959e66e5bfe47df36d.jpg


Good old days long gone
 
Back
Top Bottom