PETIT MAN afunga ndoa na ESMA PLATNUM

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
6,386
Reaction score
7,558
Kupitia mitandao kadhaa ya kijamii na uthibitisho wa picha kupitia account ya IG ya bwana harusi Petit man wakuache imethibitika kuwa wawili wamefunga ndoa siku ya leo.

Esma Platnum ambae ni dada wa msanii wa Bongo fleva Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnumz.

InshaAllah Mungu awabariki kwenye safari yenu ya ndoa na mfanyiwe wepesi.

Nawatakia heri na baraka katika maisha yao mapya
 
Attachments

  • 1411164092441.jpg
    25.9 KB · Views: 1,840
  • 1411164110332.jpg
    35.5 KB · Views: 1,849
  • 1411164127845.jpg
    27.2 KB · Views: 1,893
  • 1411164145524.jpg
    38.8 KB · Views: 1,835
Uislamu wa wapi na mirasta? Labda Jamaica islamic,bakwata wanatuharibia dini hawa wangese,ipo siku watafungisha ndoa ya jinsia moja
 
Mungu saidia hawa wawe wanaigiza tu isiwe kweli................... Mana naskitikia watoto watakaozaliwa na baba Mdananda Wema akibadilisha mbeba pochi atafanyaje huyu
 
Hizi ni movie tu hamna jipya ukisikia ndoa ya kutafutia kiki ndo hii
 
Mungu saidia hawa wawe wanaigiza tu isiwe kweli................... Mana naskitikia watoto watakaozaliwa na baba Mdananda Wema akibadilisha mbeba pochi atafanyaje huyu

Hahaha jamaa ni mzee w kulelewa domo atampa zawadi ya harrier nini
 
Ni kweli wameoana,na ndomo hamkubali kabisa huyo shemejiye na kathibitisha zaidi alivyopost picha ya dada yake tu huko IG na kumtakia kheri katika maisha yake ya ndoa
 
Ni kweli wameoana,na ndomo hamkubali kabisa huyo shemejiye na kathibitisha zaidi alivyopost picha ya dada yake tu huko IG na kumtakia kheri katika maisha yake ya ndoa

Utafurahiaje dada yako aolewe na mtu kazi yake kuzurula tu,domo kamfungulia duka dada yake huyo petii ni mariooo
 
Utafurahiaje dada yako aolewe na mtu kazi yake kuzurula tu,domo kamfungulia duka dada yake huyo petii ni mariooo

Kiukweli hata mimi simpendi huyo pet sijui nini...naona kafuata huo umaarufu wa ndomo kupitia dada yake...alafu ndio kwanza wana kama miezi mi3 na ndoa juu,yetu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…