Atamlisha nini huyo bibi Esma??
wamefunga ndoa kwa vile hela ipo au wameamua, haya bana Mungu awabaraikiNawatakia heri na baraka katika maisha yao mapya
wamefunga ndoa kwa vile hela ipo au wameamua, haya bana Mungu awabaraiki
Uislamu wa wapi na mirasta? Labda Jamaica islamic,bakwata wanatuharibia dini hawa wangese,ipo siku watafungisha ndoa ya jinsia moja
Huyo jamaa ni mpambe wa mama ubaya huyo demu ni mdogo wa ndomo, umaafu wao ni uko insta tu hakuna anayewajua mjini apa
Utafurahiaje dada yako aolewe na mtu kazi yake kuzurula tu,domo kamfungulia duka dada yake huyo petii ni mariooo
Dinazarde umeona kisw cha swahili course ndomo ndomo kirobaIntarahamwe utawajua kiswahili chenga
alidhani dada zake wema hawaumii kuona mdogo wao anamwagiwa tu wazungu nq domooooooooooo.na bado kesho atahamia kwa shoga yake kama alivyofanya domo kwa shoga zake mama ubayahata mimi nimefurahije sasa..akomeeeeeeee akichakaza wa wenzie na wake atachakazwa vile vile na ataletewa mjomba na matumizi atoe yeye
Uliwahi kuishi nao Jirani hawa naona..Huyo ndomo naye asitake kuleta zake dada yake mwenyewe kashazalishwa siku nyingi kimeo tu mjini mbona kaka yake penny yule mtangazaji sheiza alishamla saana huyo esma! Kwa hyo ndugu yake rommy akitaka kuoa sehemu watamkatalia kwa kuwa rommy ni mariooo?
Uliwahi kuishi nao Jirani hawa naona..
Uyu mamakibunju nilimsoma siku moja anatoa ushuuda flani hapa nikawa kama namwona mitaa ya mori hivi magorofa ya bot hivi .
Huyo ndomo naye asitake kuleta zake dada yake mwenyewe kashazalishwa siku nyingi kimeo tu mjini mbona kaka yake penny yule mtangazaji sheiza alishamla saana huyo esma! Kwa hyo ndugu yake rommy akitaka kuoa sehemu watamkatalia kwa kuwa rommy ni mariooo?