PETIT MAN afunga ndoa na ESMA PLATNUM

PETIT MAN afunga ndoa na ESMA PLATNUM

Esma hajawahi olewa km sikosei..alizaa tu..umri umemtupa mwache nae asafishe nyota..aonekane nae ashaolewaga
 
Uislamu wa wapi na mirasta? Labda Jamaica islamic,bakwata wanatuharibia dini hawa wangese,ipo siku watafungisha ndoa ya jinsia moja

Ha ha ha amakweli dini nazo zimekua bongo fleva
 
Utafurahiaje dada yako aolewe na mtu kazi yake kuzurula tu,domo kamfungulia duka dada yake huyo petii ni mariooo

Huyo ndomo naye asitake kuleta zake dada yake mwenyewe kashazalishwa siku nyingi kimeo tu mjini mbona kaka yake penny yule mtangazaji sheiza alishamla saana huyo esma! Kwa hyo ndugu yake rommy akitaka kuoa sehemu watamkatalia kwa kuwa rommy ni mariooo?
 
hata mimi nimefurahije sasa..akomeeeeeeee akichakaza wa wenzie na wake atachakazwa vile vile na ataletewa mjomba na matumizi atoe yeye
alidhani dada zake wema hawaumii kuona mdogo wao anamwagiwa tu wazungu nq domooooooooooo.na bado kesho atahamia kwa shoga yake kama alivyofanya domo kwa shoga zake mama ubaya
 
VizurI rafiki wa chalz baba middle man wa chalz baba petitman kwa kumwoa vifi yake bosi wako

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nimefurahi jaman mtu asipoolewa mnasema ooh malaya umri umeenda sasa kaolewa mnataka nini emu jakini ya kwenu
 
Huyo ndomo naye asitake kuleta zake dada yake mwenyewe kashazalishwa siku nyingi kimeo tu mjini mbona kaka yake penny yule mtangazaji sheiza alishamla saana huyo esma! Kwa hyo ndugu yake rommy akitaka kuoa sehemu watamkatalia kwa kuwa rommy ni mariooo?
Uliwahi kuishi nao Jirani hawa naona..
 
Hongera zao,hahaha Petit man umefanya poa sana,Diamond lazima awalishe maana itamuuma sana kuona dada yake anataabika
 
Huyo ndomo naye asitake kuleta zake dada yake mwenyewe kashazalishwa siku nyingi kimeo tu mjini mbona kaka yake penny yule mtangazaji sheiza alishamla saana huyo esma! Kwa hyo ndugu yake rommy akitaka kuoa sehemu watamkatalia kwa kuwa rommy ni mariooo?

wewe na mrembo by nature nadeclare my interests nawakubali sana
 
Back
Top Bottom