Petit man afunguka kuhusu picha zake za mahaba na Mobeto

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mwanamitindo huyo akiwa katika pozi za mahaba na mdau wa muziki, Petitman Wakuache. Baada ya kuziona picha hizo Petit ameibuka na kutoa kauli nzito.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Petit alipost picha akiwa na mke wake Esma ambaye ni wifi yake Mobeto, kwa sababu anazaliwa mama mmoja na baba mtoto wake. Na kuandika ujumbe ufuatao:

Kila binadamu ana jana yake, leo na kesho ambayo ni fumbo, kwa sababu ameshasema kwamba picha hizo ni jana yake, ambayo haiuhusiani kabisa na leo yake. Basi ni vyema hao wanaohusika na usambazaji wa picha hizo, mkasitisha zoezi hilo, kwani Petit ni mume na baba wa familia kwa sasa.

Mobeto naye ana maisha yake mengine kabisa, kwa hiyo kuvujisha picha hizo kunaweza kusababisha migogoro katika familia hizi mbili ambazo zina uhusiano wa karibu.
 
Hoi itakuwa kazi ya suddy(shilawadu)
 
Dogo anaishi mjini msingi kiuno, kwasasa Diamond ndio anahudumia hii couple na Pety man anajua pale mgodi unatema ndo kakimbilia pale alivyoona boti kwa madam nyoko linazama.
Ukiskia kesho majanga kwa Diamond huyo dogo fasta atatambaa atafute uturi kwingine
Duh!!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hao itakuwa genge la kina Mobeto tu yani hawana akili hata moja baada ya kumshauri mwenzao afanye vitu vya maana wao wanakazania kufukua makaburi tu ya zamani.
 
Back
Top Bottom