Petit man ajitosa kwa dada wa Kiba

Petit man ajitosa kwa dada wa Kiba

weed

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
2,459
Reaction score
3,576
MFANYAKAZI wa kampuni inayomilikiwa na Wema Sepetu, Endless Fame, Petit Man Wakuache amenaswa akijiweka karibu na dada wa Ali Kiba, Zabibu Kiba kiasi cha kuzua minong?ono kwamba huenda alikuwa akimtongoza.

Ubuyu huo ulinaswa moja kwa moja ndani ya Ukumbi wa Wema, Kijitonyama jijini Dar ambapo muda mwingi wawili hao walikuwa wakikaa pamoja na baadaye kila walipokwenda, walikwenda pamoja.
Dada wa Kiba alipobanywa na Amani kuhusu ukaribu wao, hakuwa tayari kuungumzia lakini Petit alipoulizwa alitiririka:

?Huyu dada yake na Ali Kiba si unajua tena mjini unaangalia wapi unapenda na hapa ndiyo kwanza najipenyeza.?

Awali, Petit alimuoa dada wa Nasibu Abdul ?Diamond?, Esma ambaye alizaa naye mtoto mmoja kisha wakaachana.
chanzo na .global publishers
 
Hahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zabibukiba si shemeji wa diamond, kupitia akilisaleh??
 
Na mimi nashangaa na kama itakuwa kweli basi huyu demu atakuwa hajatulia

Hahahahah yani kweli tanzania ndogo

Sakata zima la diamond na wema bado ikawa Petitiman na esma wapenzi... Still ikawa haitoshi Moseiyobo akabeba aunt ezekiel hahaha

Haya sasa sasahivi kiba na diamond tena, akilisaleh kajibebea dadaake kiba hahahahaha... Afu cha ajabu zaidi, naona Jokate kamfollow diamond insta, licha ya timbwili lote lililotokea kati yao ila bado hahah
 
Picha ya Zabibu tafadhali nimuone, simfahamu
 
Diamond analia kila siku kurudiana na Jokate... Dogo malaya sana.
 
MFANYAKAZI wa kampuni inayomilikiwa na Wema Sepetu, Endless Fame, Petit Man Wakuache amenaswa akijiweka karibu na dada wa Ali Kiba, Zabibu Kiba kiasi cha kuzua minong?ono kwamba huenda alikuwa akimtongoza.

Ubuyu huo ulinaswa moja kwa moja ndani ya Ukumbi wa Wema, Kijitonyama jijini Dar ambapo muda mwingi wawili hao walikuwa wakikaa pamoja na baadaye kila walipokwenda, walikwenda pamoja.
Dada wa Kiba alipobanywa na Amani kuhusu ukaribu wao, hakuwa tayari kuungumzia lakini Petit alipoulizwa alitiririka:

?Huyu dada yake na Ali Kiba si unajua tena mjini unaangalia wapi unapenda na hapa ndiyo kwanza najipenyeza.?

Awali, Petit alimuoa dada wa Nasibu Abdul ?Diamond?, Esma ambaye alizaa naye mtoto mmoja kisha wakaachana.
chanzo na .global publishers

huyo dogo nampata sana tatizo anatafuta umaarufu kwa staili hiyo ya kujipenyeza kwa wadada wa mastaa.
 
Kwani simimesikia dai anatoka nalulu zari atatekelezwa nakile kichanga ukizingatia mawifi wenyewe mcharuka mamamkwe mswahili patam hapo
 
Picha ya Zabibu tafadhali nimuone, simfahamu

20ruw0k.jpg
 
Back
Top Bottom