Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

Petit man amuoa mtoto wa Gardner G Habash

Hii habari isiwe kweli yule mtoto asiangukie kwa yule muhuni
 
Uzi hua kukosa ka picha kaushahidi ni sawa nakutokua na choo cha tundu alimaarufu choo cha tegesha tako ukiwa mikoani hasa mkoa wa mbeya
 
Sasa huyo jamaa atamlisha nin huyo binti Hapa town?
Wewe ndio umeuliza swali la msingi sana. Maana alizoea kulishwa na Esma na familia yake, sasa binti wa watu sijui atalishwa nini tu
 
Mi kufuga mwanaume sijawaza bado.. Nikikaribia 40 huko and single ntatafuta MTU mzima mwenzangu tusogeze nae uzee..
Ila chips mayai zilivyo tamu jamani acha tu Menopause ije mapema Cha Muhimu Uhai
Nasubiria mda ukifika uniambie tumalize wote uzee
 
ukiniuliza mtu kama mimi naona hicho ndo cha maana zaidi,ukishakuwa na pesa unaoa mwanaume unayemtaka na atakuheshimu atake asitake Esma hana alichopoteza.
Kwakweli kutafuta pesa ndio mambo yote. Esma hana alichopoteza kwa kumkosa Petit, ni kama alikuwa anajidhibia ridhiki tu. Unaonekana Mrs. somebody, wakati somebody mwenyewe hana mbele wale nyuma. Mi nilikuwa najiuliza sababu ya Esma kumfuga yule jamaa. Bora abaki na duka lake la vitenge tu.
 
Sasa Binti Gadna ana hiyo pesa ya kumuweka ndani Mariooo? Hata kama anayo pesa, umri wake ni mdogo sana kuanza kufuga mijitu isiyojielewa.
Story za wabongo utaziweza,binti hajaolewa nahisi ni wimbo si unajua wabongo wape picha tu maneno wataweka wenyewe
 
Back
Top Bottom