Petit Man, Esma mahaba upya

Hivi huyo petitman kazi yake hasa ni ipi hapa mjini?
sipatagi jibu kabisa

Jamaa ana bonge la saloon mwananyamala hilo wananyoa mastaa tu anaanzia buku tano kunyoa ndevu tu na hapo hapo ana ofisi kubwa ya maswala ya mpesa tpesa na huduma zte za kipesa najua hayo tu mengne ya dd cyajuo
 
Petit ndiye anayemkula February Marope kwa sasa.Law kamtupa febu siku hizi
 
warumi jiongeze babu...mtu mkubwa huyo.Au unataka nikanyee debe segedansi?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nimsaidie kidogo kukudadavulia, marope ni manyuzinyuzi au makamba, February ni mwezi baada ya January,.

Aisee...kweli umedadavua mm mwenyewe mwanzo sikuambulia kitu
 
Last edited by a moderator:
Petit ndiye anayemkula February Marope kwa sasa.Law kamtupa febu siku hizi

mbna marope nae ni mende mana naskia ndio zake unaweza kukuta petit ndio mke wke......dar wanawake wamekua wachache vijana wameamua kua mende
 
Ngoja nimsaidie kidogo kukudadavulia, marope ni manyuzinyuzi au makamba, February ni mwezi baada ya January,.

hahaaa best unaogopa kifungo wakti umbea unapenda.....ila marope nasikia anapenda kupakua mitaro cjui wanawake wameisha dar au
 
Anaogopa cyber crime etiii, anaogopa kubakwa segedansi...na msukuma kasema hamtolei MTU dhamana.

hizi tabia z kujifanya unapenda wanaume wenzako cjui wa2 wanajifunzia wapi......petit n choko kiaina marope ndio anawapakua na ndio aliwapa bongo movie dili la kampeni
 
hizi tabia z kujifanya unapenda wanaume wenzako cjui wa2 wanajifunzia wapi......petit n choko kiaina marope ndio anawapakua na ndio aliwapa bongo movie dili la kampeni

Nasikia marope alijisevia 'Huruma' kimtindo.Mambo ya ugwadu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…