Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Anammega nani tena
Petito ana mega mega mama ubaya niliona huu ubuyu instagram
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anammega nani tena
Hivi huyo petitman kazi yake hasa ni ipi hapa mjini?
sipatagi jibu kabisa
Ngoja nimsaidie kidogo kukudadavulia, marope ni manyuzinyuzi au makamba, February ni mwezi baada ya January,.Eeh ebu nipe umbea kwa pm vizur, maana roho inataka kupaa hapa
Ngoja nimsaidie kidogo kukudadavulia, marope ni manyuzinyuzi au makamba, February ni mwezi baada ya January,.
Log book ndo nilishapoteza magufuli ataninyoosha
Eeh ebu nipe umbea kwa pm vizur, maana roho inataka kupaa hapa
Petit ndiye anayemkula February Marope kwa sasa.Law kamtupa febu siku hizi
Ngoja nimsaidie kidogo kukudadavulia, marope ni manyuzinyuzi au makamba, February ni mwezi baada ya January,.
Anaogopa cyber crime etiii, anaogopa kubakwa segedansi...na msukuma kasema hamtolei MTU dhamana.
Haaaaah et drug dealer we jamaa bhn
hahaaa best unaogopa kifungo wakti umbea unapenda.....ila marope nasikia anapenda kupakua mitaro cjui wanawake wameisha dar au
hizi tabia z kujifanya unapenda wanaume wenzako cjui wa2 wanajifunzia wapi......petit n choko kiaina marope ndio anawapakua na ndio aliwapa bongo movie dili la kampeni