Petit Man, Esma mahaba upya

Petit Man, Esma mahaba upya

Nasikia marope alijisevia 'Huruma' kimtindo.Mambo ya ugwadu

hivi wadada wote n uzuri wao wa2 wako busy n wanaume wenzao.......cjui kuna chemistry ipi mpka mtu anakua mende au ubongo unakua n ma....viiii
 
Nasikia marope alijisevia 'Huruma' kimtindo.Mambo ya ugwadu

hilo liko wazi ila atakua 0719 pale ni kugusa tu......ila bongo movie wameuza sana kwenye kampeni mana hali mtaani ilikua mbaya naona sasa sura n shepu zao zimerudi
 
sasa tutaandamana.

fanyeni hivyo tena muanze n maropu na kadinda mana wamechukua nafasi zenu wakti nyie mko hai c heri kungekua hakuna wanawake.....***** zao ndio mana kila mwaka tunakumbwa n njaa no mvua kwa visirani vya machoko
 
Kweli 0714 inapendwa..sijui kwanini!!!!!!! kumkunja kidume mwenzio sura ngumu,ta#o gumu ni kipaji naona!!au labda kwasababu kabaaaang diameter yake ndogo.

##Nawaza tu##
 
Ila ukweli ni vizuri kuusemaga, Zari amesaidia sana Esma kubadilika yaani hadi kabla hajaenda Dar kukaa kwa mumewe hadi kujifungua Esma alikuwaga mmmh. ila utofauti sasa ni mkubwa sanaaaaaaa amekuwa na kilasi fulani ya juuu kujipenda kiujuujuu hata mtoto wake duh yaani mavazi nae transifomashioni yake na mwana ni bombaaaaaa sana. Na anaonekana kufurahia sana hata kwa mume Peti lazima kaambiwa hapana uswazi safisha wewe, acha abudu mwanamke sana ka vile kweli kazaa mamiyako.

Petiti anatia aibu kuringa pesa pesa na familia ilikuwa haina kilasi hata mavazi kweli pesa mmh. Mke karudi kwao kawa na kilasi bombaaaaa.
 
hahaaa best unaogopa kifungo wakti umbea unapenda.....ila marope nasikia anapenda kupakua mitaro cjui wanawake wameisha dar au

umbea mtamu best ukiwa uraiani, jamaa kweli anasifika kwa mitaro sijui amekundua teknolojia gani huko.
 
umbea mtamu best ukiwa uraiani, jamaa kweli anasifika kwa mitaro sijui amekundua teknolojia gani huko.

hahaa ya kweli hayo....ila huyu manyuzi itakua ile wizara kaiharibu yana cjui kama wafanyakazi wa kiume n kike wamepona kufumuliwa marinda.....kumpinda dume mwenzio lazma uwe na roho ya kunyonga mana huo ujasiri sio wakawaida unamkunja mwanaume n kengele zake hivihivi
 
Si ndio maana afya dhaifu, sasa anatafuta utelezi kwa dume mwisho anaambulia m...vi, ataacha kuchakaa kweli?
 
Si ndio maana afya dhaifu, sasa anatafuta utelezi kwa dume mwisho anaambulia m...vi, ataacha kuchakaa kweli?

duuuuh malipo ni hapahapa duniani.....hiyo dhambi itamrudia yeye n watoto wke tuombe uzima tu....kuwafanya vijana wenzie machoko ilhali nae anawatoto lazma imrudie tu hiyo dhambi
 
Duh!mobitel khatari ila ikichoka inachoka jumla kuna mshkaji alipata kahaba moja mtaani basi kifo cha mende jamaa akaanza kulalamika manzi anamuuliza nini jamaa ooh nataka uani demu akamwambia we ---- nini kwani hapo upo wapi?kupeleka mkono kweli uani jamaa akaja analalamika hakuna tofauti kati ya uani na barzani.
 
hahaaa best unaogopa kifungo wakti umbea unapenda.....ila marope nasikia anapenda kupakua mitaro cjui wanawake wameisha dar au

Kwamba marope anafukua mtaro wa Peet, eeeh huyu Peet nae kama power bank naona analiwa nae anakula
 
Kwamba marope anafukua mtaro wa Peet, eeeh huyu Peet nae kama power bank naona analiwa nae anakula

duuuh kma powerbank anachaji cku aina zote.....pee nae c kaoa mpka kapata mtoto huyo anaitwa mseng....ee fresh
 
duhhh nimewapata sana kama power bank vile Evelyn Salt umenifanya nifurah sana unamisemo fulan amazing oneday mumy nitakuibia simu usionekane humu kama mwez mzma
 
Last edited by a moderator:
Dah yani mpaka sasa
sijamjua mtu mmoja anayezungumziwa wekeni picha basi ya esma, mama ubaya na petit tuwaone
 
Back
Top Bottom