Petit Man, Esma mahaba upya

Petit Man, Esma mahaba upya

Duh!yaani mchicha mwiba imekuwa fasion siku hizi!wanawake wapo wengi kisha kuna mabaradhuri mengine yanajialika kuwa manamake ooh mpaka 2020 wanamume tutakuwa robo ya wakazi wa hapa duniani.
 
Huyo wameanza kumtafuna tangia Arusha... Alikuwa anashobokea sana mabitozi wa Arusha Modern, ISM, St. Constantine na Brueburn wakati yeye alikuwa anasoma shule ya kata Arusha Secondary...

ntakuja kukuletea maji segerea, tiririka binam.
 
Ukitaka Story za marope pamoja na Mwinguruuu Njemba tafuta malaya wa Dodoma au watoto wa CBE watakupakulia mpaka ucheke.. Huyo marope bora yeye anapiga game fresh na anawala pande zote mpaka sasa kakosa soko, sasa Mwinguru Njembaa unaambiwa akizamisha kichwa tu wazungu haoooooooo...

mwiguru bwana
afu anajifanya mlokole.
Nchimbi naye akiona pichu tu...anafika kilelen pale Kibo.
 
Duh!yaani mchicha mwiba imekuwa fasion siku hizi!wanawake wapo wengi kisha kuna mabaradhuri mengine yanajialika kuwa manamake ooh mpaka 2020 wanamume tutakuwa robo ya wakazi wa hapa duniani.

ndio maana wanatulalamika eti kuna mabwawa kumbe wamezoea pete za kiume.
mfyuu zao
 
teh teh teh hebu jaribu na binamu yako Ms.Lincoln alafu mtuletee mrejesho..

astaghafululahiii binam tema mate chiniii....hata aje iziraili bora nife kuliko kuvuja kinyesi.
tema mate chin.Umenichefua kabisa.Mwache warumi ajaribu hio uhanithi
 
Last edited by a moderator:
warumi hiyo ya mnyika ebu naniliu, kausha !!
 
Last edited by a moderator:
binamu nipe mstori wa mnyika hata pm kama hapa unaogopa.....
maana nampenda sana walivyotaka kumdhulumu kura zake nlihangaika sana nlilala saa 8 usiku kumtetea ...
nipe stori nijipimie kabisa

jamani binamu nimekupm naona pm zangu hazifunguki kabisa.
mie hapa naharisha kabisa😎😀😛
 
astaghafululahiii binam tema mate chiniii....hata aje iziraili bora nife kuliko kuvuja kinyesi.
tema mate chin.Umenichefua kabisa.Mwache warumi ajaribu hio uhanithi

Ptuuuuuuuu.... teh teh teh nilikuwa namfurahisha warumi tu.. Hiyo michezo mpaka kuicheza lazima akili ichetuke kidogo na uwe na stress za kutosha.. Mostly team vibamia ndio wanapenda hiyo michezo..

Naona we unawataja kwa majina tu, teh teh sikuhizi hawapeleki segerea wanakuMawazo tu... Ngoja niwaachie jukwaa lenu
 
usiondoke,
jukwaa letu sote hili.
 
binamu nipe mstori wa mnyika hata pm kama hapa unaogopa.....
maana nampenda sana walivyotaka kumdhulumu kura zake nlihangaika sana nlilala saa 8 usiku kumtetea ...
nipe stori nijipimie kabisa

Nishakumwagia pm binamu, hahahaha unampenda eeh? Shauri zako yule sio MTU mzuri kabisa
 
jamani binamu nimekupm naona pm zangu hazifunguki kabisa.
mie hapa naharisha kabisa😎😀😛

Ahahahah yani pm nimekuta msg kibao wala sipat notification kuwa msg zimeingia hawa ma mods nao mfyuu zao wanatuaribia umbea hapa
 
Aiseee Bongo tuna macelebrities wengi.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom