Wapwaz na mabinamu!
Baada ya kusikia na kushiriki na kuguswa na kuathirika na mikasa; visa, vituko, matukio na adha zinazotukumba wanandoano.......oops WANANDOA!
Naomba tupitishe azimio kushauri kuwepo na mafunzo haya ambayo huko nyuma jamii zetu (naamini waafrika wote) tulikuwa nazo; Tuziboreshe kwa faida ya kizazi kinachokua sasa na kijacho......yatolewe kwa mujibu wa sheria............ni wazo tu!