Petition: Jando na unyago iwepo kwa mujibu wa sheria!

Petition: Jando na unyago iwepo kwa mujibu wa sheria!

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Wapwaz na mabinamu!

Baada ya kusikia na kushiriki na kuguswa na kuathirika na mikasa; visa, vituko, matukio na adha zinazotukumba wanandoano.......oops WANANDOA!

Naomba tupitishe azimio kushauri kuwepo na mafunzo haya ambayo huko nyuma jamii zetu (naamini waafrika wote) tulikuwa nazo; Tuziboreshe kwa faida ya kizazi kinachokua sasa na kijacho......yatolewe kwa mujibu wa sheria............ni wazo tu!
 
Ongelea katiba kwa sasa. This is the burning issue. Mengine yatafuata.
 
good idea lakini haizuii kuachana.kama umemchoka mtu hutakumbuka kungwi alikuambia nini.....
 
Huko sasa ni kuingilia faragha na uhuru wa watu bana. Serikali inapaswa kujitahidi kukaa mbali sana na kuingilia uhuru na haki ya watu binafsi kujiamulia mambo yao wenyewe hasa kwenye kulea watoto.
 
good idea lakini haizuii kuachana.kama umemchoka mtu hutakumbuka kungwi alikuambia nini.....


Yep........sisemi itapunguza lakini itawapatia watu reasoning nje ya visa vya mapenzi..........walau watu watajua kuwa they failed while at it and not before they started!
 
Duh! Katiba topic hii jamani?! Au nimesoma vibaya.... ngoja nirudie....
 
Back
Top Bottom