Petition: Susia Azam TV, susia CECAFA challenge cup

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Wote najua manajua kinachoendelea huko Libya,sasa hao wapuuzi ni mojawapo ya teams mwalikwakwenye michezo ya cecafa cup inayoanza kenya next week
Wdhamini wakuu ni Azam tv,

Nawaomba ndugu zangu tupaze sauti hao libya waondolewe kama haiwezekani tususie bidhaa za azam na cecafa yao kabisa
Kwa wale ambao wanabisha mbona waarabu hawataki kushirikiana kimichezona israel hadi leo?nasema hivi maana najua kuna watakaosema wachezaji hayawahusu,

Juzi tu mcheza judo wa Iran kaachia apigwe kwa maelekezo ya kocha baada ya kugundua next opponent ni mu israel
Imagine hayo majaamaa ya kiarabu yanatia team nairobi halafu yanafunga goal huku yakishangaliwa,yatatushangaa yenyewe
LETS BOYCOT AZAM TV AND CECAFA
 
Kwani sisi ni waisrael?
 
Libya wanacheza mechi za CAF,FIFA sembuse CECAFA.Hujui mpira unaunganisha wananchi?Mpira wa miguu na siasa ni vitu viwilli tofauti.Binafsi sioni tatizo hapo
 
Baada ya kususia, Libya itatulia?

Badala michezo hii iwe mbinu mbadala ya kufikisha ujumbe kwa Ulimwengu kupitia soka, wewe unadai wasusuie. Duuh!.
 
ukitaka ujue inferiority complex ya watu weusi ni kupitia comments za hapa,kina nyerere walivyowasusia south africa hadi wakatengwa kwenye michezo walikuwa wajinga sio?
 
Naunga mkono hoja, biashara ya kuuza na kununua binadamu (biashara ya utumwa) haikubaliki hata kidogo. Libya wasipoondolewa kwenye michuano hiyo ya CECAFA, tususie Azam na tususie Cecafa challenge cup kwa ujumla wake.Susia Azam na Susia Cecafa challenge cup, biashara ya utumwa haikubaliki!
 
Kususa susa ni tabia za kike..hao uko Libya walitumwa na nani? Kupenda penda kitonga... Waelimishe ndugu zako wasipende mtelemko...
Watu wamevalia mambo utasema wa uchungu wa kweli. Nchi zetu zinatushinda wanapigwa watu maiti zinaokotwa hovyo watu vyatuuu utasema hawasikii au kuona. Wale wanataka kwenda europe kinachotokea sio kitu kizuri. Swali kwanini wanakimbia nchi zao njia ya panya? Huko ndio tatizo tu andamane kuboresha serikali zetu mbovu umaskini wa kutupwa. Tusijafanye machampion leo wa haki za binadamu wakati sisi wenyewe hatuheshimiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…