Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,884
- 8,956
mbona hata sisi tunauza wasomali na wa Ethiopia kuwapeleka bondeni.. tena tunawaweka kwenye makontena bila chakula wakitoka humo utawaonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja, biashara ya kuuza na kununua binadamu (biashara ya utumwa) haikubaliki hata kidogo. Libya wasipoondolewa kwenye michuano hiyo ya CECAFA, tususie Azam na tususie Cecafa challenge cup kwa ujumla wake.Susia Azam na Susia Cecafa challenge cup, biashara ya utumwa haikubaliki!
Itatuma message kwa serikali ya Libya ili ichukue juhudi za ziada kupambana na vikundi vinavyoendesha vitendo vya utekajiBaada ya kususia, Libya itatulia?
Badala michezo hii iwe mbinu mbadala ya kufikisha ujumbe kwa Ulimwengu kupitia soka, wewe unadai wasusuie. Duuh!.
Kwa wale ambao wanabisha mbona waarabu hawataki kushirikiana kimichezona israel hadi leo?
Kwa kufanya hivyo uongozi wa Libya utalazimika kuchukua hatua kali zaidi kupambana na hayo makundi, isije kuwa biashara hii inatumika kama nyongeza ya pato la taifa na hivyo serikali inaachia kwa makusudiHivi hayo yanafanywa na serikali? Umewahi kuyasikia wakati wa gadafi? Hivi haya yanayotokea nchini mwetu ya kukutwa mili ya watu kwenye viroba mmewahi kutoa tamko kama hili au hayo hayaitaji kupigiwa kelele?
Kwa kufanya hivyo uongozi wa Libya utalazimika kuchukua hatua kali zaidi kupambana na hayo makundi, isije kuwa biashara hii inatumika kama nyongeza ya pato la taifa na hivyo serikali inaachia kwa makusudi
Libya huwezi kuihukumu hawana serikali imara toka Gaddafi aondolewe,ni sawasawa na Somalia tuu.Wote najua manajua kinachoendelea huko Libya,sasa hao wapuuzi ni mojawapo ya teams mwalikwakwenye michezo ya cecafa cup inayoanza kenya next week
Wdhamini wakuu ni Azam tv,
Nawaomba ndugu zangu tupaze sauti hao libya waondolewe kama haiwezekani tususie bidhaa za azam na cecafa yao kabisa
Kwa wale ambao wanabisha mbona waarabu hawataki kushirikiana kimichezona israel hadi leo?nasema hivi maana najua kuna watakaosema wachezaji hayawahusu,
Juzi tu mcheza judo wa Iran kaachia apigwe kwa maelekezo ya kocha baada ya kugundua next opponent ni mu israel
Imagine hayo majaamaa ya kiarabu yanatia team nairobi halafu yanafunga goal huku yakishangaliwa,yatatushangaa yenyewe
LETS BOYCOT AZAM TV AND CECAFA
Azam ni sponsor mkuu wa cecafa challenge cupAZAM hapa anaingiaje?
Akili mgando hizi.
Azam ni sponsor mkuu wa cecafa challenge cup ,kwa busara zao wameona waawalike Libya na watakuwa kundi moja na tanganyika,msikose kuangalia AZAM TV kwa burudani safi ya ndugu zetu wa damu wenye upendo kutoka LIBYASusia wewe.
Mbona watu wanakutwa kwenye viroba kando ya bahari, watu wanakatwa mpanga hakuwahi kutokea petition yoyote
Una matatizo sio bureAzam ni wazuri ila hawana watangazaji wazuri
Nilimaanisha utangazaji wao wa matangazo ya moja kwa moja ya mpira hawako vizuri kama walivyo wa tbcUna matatizo sio bure
Katika crew ya michezo azam. Wanawa chambuzi na watangazaji bora ,habari pia watangazaji wapo poa ila mie kwa upande wa wachambuzi nawapa dole wapo vzr