kwa MAPOYOYO yote yaliyoshindwa kuelewa lakini yakajifanya yanajua ku comment naomba niyajibu ifuatavyo. AZAM TV ndiyo main sponsor wa cecafa challenge cup ambao cha kushangaza wameamua kuwaalika libya tena wapo kundi moja na tanganyika..sasa unauliza eti AZAM isusiwe kwa nini? ni kuweka pressure kwao ili waweke pressure kwa CECAF kuwaondoa hao SLAVE MASTERS..LABDA iq ZA WANA JF WENGI SIKU HIZI ZIPO CHINI lakini techniques ya kususia bidhaa za sponsors wanaohusika na jambo lolote baya sio mara ya kwanza
MAJUZI TU FOX NEWS ilipoteza sponsors wote kwenye scandAL ya ROY MOORE tena scandal ya sexual harrasment,kushika wanawake matiti ,makalio na kuwakonyeza plus vimanneno vya hapa na pale...ila hapa AFRIKA wenzetu huko wanauzwa kama wanyama na kupikwa kwenye pipa la maji ya moto wakiwa hai,its not a big deal,jesus christ
Hao waarabu kila siku wanalia israel itengwe na hata kwenye michezo Israel wanapangwa na Teams za europe badala ya middle east(Angalia Uefa)why iwe hivyo?kwa wale mliouliza eti hao wachezaji inawahusu nini?
Na huyo aliyesema mbona huku watu wanaokotwa kwenye viroba? sijui hata nikujibu nini..naomba tu niseme sababu zimbabwe hali ya uchumi ni mbaya au kuna nchi hazina umeme basi na sisi tukipata shida hizo tusilalamike
Sean Hannity Fans Call for Boycotting Keurig After Sponsors Pull Ads ...
time.com › Politics › fox news
Nov 12, 2017 - Fox News anchor Sean Hannity's fans rallied against Keurig after it pulled ads from his show following his comments on Roy Moore allegations. ... However, social media users who agreed with Keurig's decision came out in force, tweeting that they would buy a Keurig machine and making jokes about ...
x Companies Won't Advertise On 'Hannity' After Roy Moore Interview ...
deadline.com/2017/11/sean-hannity-roy-moore-advertisers-keurig-1202206708/
Nov 12, 2017 - Six companies have either pulled ads or publicly distanced themselves from Fox News' Hannity after the host was criticized for an interview with Republican ... Though most of the non-advertisers didn't give specific reasons for their absence from Hannity, their decisions were disclosed in responses to ...
Sean Hannity Fans Call for Boycott as 3 Sponsors Pull Ads - The Wrap
Sean Hannity Fans Call for Boycott as 3 Sponsors Pull Ads
Nov 13, 2017 - Update: As of Nov. 13, 11 companies withdrew ads from Sean Hannity's primetime Fox News show, including Hebrew National, Volvo, Hubble Contacts, Reddi Wip, 23andMe, Nature's Bounty, Keurig, Realtor.com, and the plus-size fashion label Eloquii. Meanwhile, two other advertisers, HelloFresh and ...
Sean Hannity Loses