Yaani unashindwa kutofautisha kati ya ilivyokuwa South Africa na ilivyo Libya?!ukitaka ujue inferiority complex ya watu weusi ni kupitia comments za hapa,kina nyerere walivyowasusia south africa hadi wakatengwa kwenye michezo walikuwa wajinga sio?
KWA JIBU LA UBALOZI WA LIBYA TANZANIA HAPO JANA,BADO UTAKUWA NA HII HOJA YAKO?HALAFU KAMA HAWA WATU NI CONTROVERSIAL KULIKUWA NA HAJA GANI YA CECAFA KUWAITA,AZAM TV KAMA MAIN SPONSOR HAWAWEZI KUWAAMBIA KWAMBA A LOT OF PEOPLE ARE UNEASY WITH LIBYA PRESENCE?Yaani unashindwa kutofautisha kati ya ilivyokuwa South Africa na ilivyo Libya?!
South Africa ulikuwa ni mfumo rasmi wa serikali!
Kinyume chake, kinachotokea Libya ni matunda ya taifa kuparaganyika kutokana na vita!
Mataifa mengi yakitoka vitani yanipitia kipindi cha mpito na kugeuka kuwa magenge ya wahalifu wa aina mbalimbali!
Sote sisi tumeshuhudia Somalia ikigeuka kuwa makazi ya magenge ya magaidi na maharamia wateka meli! Iraq na Afghanistan tumezishuhudia zikigeuka kuwa makazi ya magenge ya kigaidi na wauza mihadarati! Hata vita kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu uliacha magenge ya wauza silaha ambazo zilitapakaa hadi Tanzania!
Kwa staili ile ile; Libya nayo ikageuka kuwa pepo ya magenge ya wahalifu wanaofanya human trafficking to Europe!!
Ni hawa human traffickers ndio wanaoendesha hizo biashara haramu za kuuza watu!
Sasa unadhani hiyo mifano unayotoa inasadifu na kilichopo Libya?!
Taarifa ya Balozi wa Libya ina sehemu mbili... kwanza, wameelezea wanachofahamu wao kuhusu ile minada na sehemu yao ya pili wakasema ikiwa yanayosemwa itathibitika, wahusika watachukuliwa sheria kwa mujibu wa sheria za Libya!KWA JIBU LA UBALOZI WA LIBYA TANZANIA HAPO JANA,BADO UTAKUWA NA HII HOJA YAKO?HALAFU KAMA HAWA WATU NI CONTROVERSIAL KULIKUWA NA HAJA GANI YA CECAFA KUWAITA,AZAM TV KAMA MAIN SPONSOR HAWAWEZI KUWAAMBIA KWAMBA A LOT OF PEOPLE ARE UNEASY WITH LIBYA PRESENCE?
Hapo unaona ni shughuli inayofanywa na magenge ya kihalifu!!! Lakini kwanini Magenge ya kihalifu yanaachwa yatambe kiasi hicho?But a recent clampdown by the Libyan coastguard means fewer boats are making it out to sea, leaving the smugglers with a backlog of would-be passengers on their hands.
So the smugglers become masters, the migrants and refugees become slaves.
Hapo unaambiwa uwepo wa wanamgambo waliojihami kwa silaha kila mahali! I hope unafahamu kwamba wanamgambo huwa hawawajibiki kwa serikali lakini hiyo inaonesha ni namna gani serikali yenyewe isivyo na full control over Libya!!!There’s a very high risk of criminal kidnap for ransom in Tripoli and coastal towns to the West of Tripoli. There’s an elevated risk of kidnap for ransom and arbitrary detention by local militias throughout Libya.
Ongoing conflict and the proliferation of armed militias has led to a rise in crime in most areas, including violent robbery, carjacking and kidnapping.
Hivi nchi kama hiyo utasema serikali ina control?!There has been heavy conflict during 2016 and 2017 in several areas, including parts of Tripoli, Benghazi, Zawiyah, Sabratha, Dernah, and in central Libya at Barak al Shati, Sebha, As-Sidra and Jufra. These conflicts include pro-Government of National Accord (GNA) forces, troops under the control of General Heftar, local militias and also extremist groups such as Ansar Al Sharia and affiliates of Daesh and Al Qaeda in the Islamic Maghreb (AQ-M).
watawachukuliaje hataua kwa sheria za libya kama serikali haipo incharge ya nchi? sasa swali langu ni kwanini Cecafa waialike Libya??issue hii ni controversial kweli imeshindikana kuwaleta Angola au Togo au Guinea hata gambia? why Libya???Taarifa ya Balozi wa Libya ina sehemu mbili... kwanza, wameelezea wanachofahamu wao kuhusu ile minada na sehemu yao ya pili wakasema ikiwa yanayosemwa itathibitika, wahusika watachukuliwa sheria kwa mujibu wa sheria za Libya!
But all in all, yote hayo hayafuti hoja yangu kwamba mifano unayotoa kulinganisha Libya vs Israel or Libya vs South Africa (ya Makaburu) ni mifano isiyoendana! Kilichhopo Libya ni kusambaa kwa magenge ya uhalifu yaliyotokana na nchi hiyo kuwa vitani!
Kama ni ukandamizaji, ukandamizaji huo kwa Israel unafanywa au ulikuwa unafanywa na serikali na sio magenge ya kihalifu! Kama ni ukandamizaji, uonevu, ubaguzi n.k wakati wa Afrika ya Kusini ya Makaburu; hayo hayakuwa yakifanywa na magenge ya kihalifu bali na serikali!
Libya, haipo hivyo! Serikali yenyewe bado haipo stable. Magenge ya wahalifu yamejaa kila kona ya Tripoli kiasi kwamba hata the so called government hadi leo haijisikii salama!
CNN, ambao ndio watu wa mwanzo kuiweka taarifa ya biashara ya utumwa waliandika Hapo unaona ni shughuli inayofanywa na magenge ya kihalifu!!! Lakini kwanini Magenge ya kihalifu yanaachwa yatambe kiasi hicho?
Serikali ya Uingereza ikitoa ripoti kwa raia wake kiasi cha wiki mbili tu zilizopita hivi ndivyo wanasema: Hapo unaambiwa uwepo wa wanamgambo waliojihami kwa silaha kila mahali! I hope unafahamu kwamba wanamgambo huwa hawawajibiki kwa serikali lakini hiyo inaonesha ni namna gani serikali yenyewe isivyo na full control over Libya!!!
Uingereza wanaendelea: Hivi nchi kama hiyo utasema serikali ina control?!
Kila pahala kuna magenge ya wahalifu wenye silaha! Sasa unadhani ni sahihi kuiadhibu Libya kwa mambo yanayotokea nchini mwao wakati hata wao wenyewe hawana control nayo?!
That's one but two; hivi unaamini kabisa hayo magenge ya kihalifu yana time na siasa za CECAFA?! Unaamini hayo magenge yatapata athari yoyote?!
Kwanini tugeukie kwenye unproductive solutions wakati solutions inaonekana kabisa ipo vidoleni mwetu! Mosi, serikali zetu kujenga nchi zao ili vijane wasiwe wanajiripua kupitia safari za hatari namna hii na pili, ambayo ni very immediate solution, serikali zenye raia wake kule ifanye hima kuwarudisha kwa sababu wapo stranded between the crossfire!
Kumbe ulitarajia aseme nini?!watawachukuliaje hataua kwa sheria za libya kama serikali haipo incharge ya nchi?
Watu wanaamini soka inaleta mahasimu pamoja! Soka inaweza kutumika kuponya vidonda vya uhasama. Soka na michezo kwa ujumla ni alama ya umoja bila kujali rangi, dini wala jinsia!!sasa swali langu ni kwanini Cecafa waialike Libya??issue hii ni controversial kweli imeshindikana kuwaleta Angola au Togo au Guinea hata gambia? why Libya???
kwa kuwasaidia tu watanzania wenzengu ni hivi,azam tv sio mdhamini wa mashindano ya cecafa yanayotarajia kuanzia tarehe 3/12/2017 huko kenya bali ni official tournament broadcaster.
azam tv imepewa haki na board ya cecafa kuonyesha mechi zote za cecafa zitakazo chezwa msimu huu.sio mdhamini kama anavyodai mleta mada.
mleta mada ni mpotoshaji na mpiga porojo tu kama wapiga porojo wengine kwenye majukwaa mbalimbali ya jf.hajui akisemacho.tumsamehe bure.
Mtu anapodhamini maana yake ameridhia hiyo timu kuletwa.Azam haaliki wewe, CECAFA ndio wanaalika. Yani URA itakuja kucheza Mapinduzi Cup eti kwakua Azam watarusha michuano hiyo ndio wamewaalika URA? Kumbe hata unachoongea hujui
Mbona wao huku kwetu hawabaguliwi?Kususa susa ni tabia za kike..hao uko Libya walitumwa na nani? Kupenda penda kitonga... Waelimishe ndugu zako wasipende mtelemko...
Shida ni 'inferiority complex', tupaze sauti, Susia Azam, Susia Cecafa challenge cup!Kuna zaidi ya hayo,haya mambo ya udhamini binafsi naamini ni ya kimkataba, vyovyote iwavyo azam wana mkataba na Cecafa kudhamini mashindano, yale sasa kama vipengele navyo vimekaa kiboya hakuna namna ya kujitoa kwa Azam, vinginevyo haijalishi hao waafrika wanajipeleka Libya au la ni lazima tufike mahali tupaze sauti, wao mbona wako huku tunawaheshimu? Mambo hayahaya yako India ambako wanafunzi waafrika wanaosoma huko hubakwa hadharani, kupigwa, kuuawa na wao huku tunawanyenyekea
Kwakuwa yeye ndio mainbroadcaster, ana nafasi ya kushinikiza Libya iondolewe, Susia Azam, Susia Cacafa challeng cupkwa kuwasaidia tu watanzania wenzengu ni hivi,azam tv sio mdhamini wa mashindano ya cecafa yanayotarajia kuanzia tarehe 3/12/2017 huko kenya bali ni official tournament broadcaster.
azam tv imepewa haki na board ya cecafa kuonyesha mechi zote za cecafa zitakazo chezwa msimu huu.sio mdhamini kama anavyodai mleta mada.
mleta mada ni mpotoshaji na mpiga porojo tu kama wapiga porojo wengine kwenye majukwaa mbalimbali ya jf.hajui akisemacho.tumsamehe bure.
CECAFA na AZAM Tv waliliona hili ndio maana wamewaita Libya ili wawaonyeshe jinsi tunavyoishi waafrika tu wamoja hivyo wakirudi kwao wawe Mabalozi wazuri kwa nchi yao.kwamba Africa ni moja na Ndio maana tulienda kucheza kwa waafrika wenzetu na si Europe
Mbona wao huku kwetu hawabaguliwi?
Kwahiyo waLibya wangekuwepo tungewabagua kama tunavyowabagua waarabu wengine waliopo nchini, si ndio eeh..Tanzania kuna waLibya???
Nani katekwa pimbi wewe, watu wametoroka nchi zao unasema wametekwa?Itatuma message kwa serikali ya Libya ili ichukue juhudi za ziada kupambana na vikundi vinavyoendesha vitendo vya utekaji
Kwakuwa yeye ndio mainbroadcaster, ana nafasi ya kushinikiza Libya iondolewe, Susia Azam, Susia Cacafa challeng cup
Kwahiyo waLibya wangekuwepo tungewabagua kama tunavyowabagua waarabu wengine waliopo nchini, si ndio eeh..
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakuwa yeye ndio mainbroadcaster, ana nafasi ya kushinikiza Libya iondolewe, Susia Azam, Susia Cacafa challeng cup
Mkuu sisusii,,, nitaendelea kuwaunga mkono mpaka amani ipatikane...waLibya wapo katika bara letu na wao pia ni waafrika wenzetu tunawapenda sana na tutaendelea kuwapenda....israel inavyowanyanyasa wapalestina na kuwauwa kama wanyama, mali waislamu wanauliwa kila kukicha lakini sijaona mtu akianzisha mada na kukemea.
Ili ipatikate amani Nchini Libya njia rahisi ni hiyo ya "MWALIKO" pia twendelee kununua bidhaa za Azam