Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Watangazaji wazuri wapo channel gani?Azam ni wazuri ila hawana watangazaji wazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watangazaji wazuri wapo channel gani?Azam ni wazuri ila hawana watangazaji wazuri
Walishindwa hata kujihamasisha na kumpigania Gaddafi, leo kiherehere km kwapa! Mzigo kichwani, lenyewe tepetepe mijasho!Watu wamevalia mambo utasema wa uchungu wa kweli. Nchi zetu zinatushinda wanapigwa watu maiti zinaokotwa hovyo watu vyatuuu utasema hawasikii au kuona. Wale wanataka kwenda europe kinachotokea sio kitu kizuri. Swali kwanini wanakimbia nchi zao njia ya panya? Huko ndio tatizo tu andamane kuboresha serikali zetu mbovu umaskini wa kutupwa. Tusijafanye machampion leo wa haki za binadamu wakati sisi wenyewe hatuheshimiani.
mkimbilie tu hapo,ila wakati natukanwa hamuoni
Basi utagomea mengi tu maana hata serikali yako ina uhusiano na Libya. Wamesema nini mpaka sasa iwe leo Azam. Huko kila siku wanakufa Oman kwa hiyo kwa mwaka wa Tz 360 wanakufa Oman. Piga picha za majeneza 360 tuone leta facts sio kudandia agenda tu, leo unauchungu sana na wa Nigeria hao wanaokufa kila siku Oman serikali yetu imefanya nini, uliwaambia watu wagome kupanda Oman Air. Tuache unafikihilo la maiti lianzishie thread yake,naongelea kampuni yenye reputation clean kama AZAM kuafanya upuuzi huo...anzisha uzi wa kutetea haki za bongo na utoe solution yako tutakusapoti,mimi nimetoa solution ya AZAM TV kuwapa pressure cecafa wawaondoe libya maana hata serikali yao ipo under pressure,haya siyo matatizo ya kuyachekea ,huko oman kila siku watanzania wanauawa,tukipiga kelele tunakutana na comments za watu kama nyie
unadhani hata hao wa kuokotwa kwenye viroba ilianzaje? si kwa kupuuza?udikteta na mateso makuu yanaanzaje? si kwa kuona kama lile ni tatizo la wengien sio langu?
Na kweli Gaddafi anapigwa kimyaa unafikiti tu umetujaaWalishindwa hata kujihamasisha na kumpigania Gaddafi, leo kiherehere km kwapa! Mzigo kichwani, lenyewe tepetepe mijasho!
Two wrongs don't make it right,unaruhusiwa kufurahia kitendo cha hao waarabu na una haki ya kushangilia kabisa ila na mimi pia nina haki ya kushinikiza azam tv na cecafa warevoke invitation ya libya,walete team nyingine au waache zibaki 8 maana zimbabwe wamejitoaBasi utagomea mengi tu maana hata serikali yako ina uhusiano na Libya. Wamesema nini mpaka sasa iwe leo Azam. Huko kila siku wanakufa Oman kwa hiyo kwa mwaka wa Tz 360 wanakufa Oman. Piga picha za majeneza 360 tuone leta facts sio kudandia agenda tu, leo unauchungu sana na wa Nigeria hao wanaokufa kila siku Oman serikali yetu imefanya nini, uliwaambia watu wagome kupanda Oman Air. Tuache unafiki
View attachment 641128 Wote najua manajua kinachoendelea huko Libya,sasa hao wapuuzi ni mojawapo ya teams mwalikwakwenye michezo ya cecafa cup inayoanza kenya next week
Wdhamini wakuu ni Azam tv,
Nawaomba ndugu zangu tupaze sauti hao libya waondolewe kama haiwezekani tususie bidhaa za azam na cecafa yao kabisa
Kwa wale ambao wanabisha mbona waarabu hawataki kushirikiana kimichezona israel hadi leo?nasema hivi maana najua kuna watakaosema wachezaji hayawahusu,
Juzi tu mcheza judo wa Iran kaachia apigwe kwa maelekezo ya kocha baada ya kugundua next opponent ni mu israel
Imagine hayo majaamaa ya kiarabu yanatia team nairobi halafu yanafunga goal huku yakishangaliwa,yatatushangaa yenyewe
LETS BOYCOT AZAM TV AND CECAFA
Mimi sijasema mawazo yako wrong ila uliposema watu Tz kila siku wanauliwa Oman, this serious kuliko hao wanigeria. Lazima tujuwe Libya hawana central Gov na hata Libya wasipokuja Cecafa so itasaidia nini mashindano yenyewe maiti bado kuzikwa tu.two wrongs dont make
Two wrongs don't make it right,unaruhusiwa kufurahia kitendo cha hao waarabu na una haki ya kushangilia kabisa ila na mimi pia nina haki ya kushinikiza azam tv na cecafa warevoke invitation ya libya,walete team nyingine au waache zibaki 8 maana zimbabwe wamejitoa
hata mimi mwenyewe hapa natamani kukutukana ila tu basi najizuia.mkimbilie tu hapo,ila wakati natukanwa hamuoni
haina shida we tukana tu hata inbox,tutatukanana hukohuko,BOYCOT AZAM TV<BOYCOT CECAFAhata mimi mwenyewe hapa natamani kukutukana ila tu basi najizuia.
kiukweli mada yako umeileta kwa chuki binafsi na kwa kukurupuka bila hata kutafakari mara mbili kabla ya kuponyeza kitufe cha upload.
wanaokutukana wana kila sababu ya kufanya hivyo.
Uza king'amuzi chao mkuu sisi tuache na Azam YB yetu.View attachment 641094 Azam ni sponsor mkuu wa cecafa challenge cup ,kwa busara zao wameona waawalike Libya na watakuwa kundi moja na tanganyika,msikose kuangalia AZAM TV kwa burudani safi ya ndugu zetu wa damu wenye upendo kutoka LIBYA
wewe NYAU issue ya slave masters na slaves wao huko Libya imekuwa exposed lini,rants zimeanza lini? BOYCOT AZAM TV,BOYCOTT CECAFAUza king'amuzi chao mkuu sisi tuache na Azam YB yetu.
Wewe kinachokusumbua aidha ni chuki tu au kutojitambua
Uliwahi andika lini Israel ichukiwe sababu inaua Wapalestina? Vipi uliandika kuhusu yanayotokea Myanmar? Uliandika lini kuhusu Bokoharam na Alshabab kuuwa watu huko Nigeria na Somalia?
Ndio nyie wakiuawa Wafaransa mnabadili profile picture zenu mnaweka bendera za Ufaransa ila wanauawa Watz kibiti umelala kama pono.Tena mnaojifanya kuandika ujinga kuonesha mna uchungu ndio wanafiki haswa. Unaweza kuta ndio unahusika kuuza watu kutoka nchi zao kuwapeleka Libya.
Libya imeshiriki mechi za kufuzu World cup, umeandika Lini DSTV wasusiwe kwakuwa wadhamini wa CAF?
Mara waarabu mara waisrael yani unajidhihirisha ulivyo mdini/mbaguzi wa rangi.
Azam haaliki wewe, CECAFA ndio wanaalika. Yani URA itakuja kucheza Mapinduzi Cup eti kwakua Azam watarusha michuano hiyo ndio wamewaalika URA? Kumbe hata unachoongea hujuiShida ya binadamu mwenzako haikupi wewe haki ya kutumia hiyo kama fursa ya kumteka, kumtesa na kumuuza kama mbuzi. Azam wanalengo gani kuwaalika hao waarabu tunaoambiwa kwamba hata serikali hawana? Na kama ipo basi haichukui hatua kudhibiti biashara hiyo ya utumwa! Susia Azam, Susia Cecafa challenge cup hadi Libya iondolewe!
kabisaaaa,hata fox news ilipotokea scandal ya sexual harrasment ya MR Moore,sponsors wali pull out lakini sio wao waliofanya sexual harrasment alikuwa ni employee wa Fox newsAzam haaliki wewe, CECAFA ndio wanaalika. Yani URA itakuja kucheza Mapinduzi Cup eti kwakua Azam watarusha michuano hiyo ndio wamewaalika URA? Kumbe hata unachoongea hujui
Watu wanashindwa kutofautisha mkuuu, kinachowatesa hao ndugu zetu wa +, roho mbaya, kisa azam muislam ndio kuleta ujinga wake, ataendelea kusononeka sana dunia hiiiUza king'amuzi chao mkuu sisi tuache na Azam YB yetu.
Wewe kinachokusumbua aidha ni chuki tu au kutojitambua
Uliwahi andika lini Israel ichukiwe sababu inaua Wapalestina? Vipi uliandika kuhusu yanayotokea Myanmar? Uliandika lini kuhusu Bokoharam na Alshabab kuuwa watu huko Nigeria na Somalia?
Ndio nyie wakiuawa Wafaransa mnabadili profile picture zenu mnaweka bendera za Ufaransa ila wanauawa Watz kibiti umelala kama pono.Tena mnaojifanya kuandika ujinga kuonesha mna uchungu ndio wanafiki haswa. Unaweza kuta ndio unahusika kuuza watu kutoka nchi zao kuwapeleka Libya.
Libya imeshiriki mechi za kufuzu World cup, umeandika Lini DSTV wasusiwe kwakuwa wadhamini wa CAF?
Mara waarabu mara waisrael yani unajidhihirisha ulivyo mdini/mbaguzi wa rangi.
Reasoning capacity imetawaliwa na matusi alafu unashawishi watu kisusia. Pengine baada ya kutafakari ukabaini kosa lako ukaamua kupunguza mijadala kwa kuanzisha matusi.wewe NYAU issue ya slave masters na slaves wao huko Libya imekuwa exposed lini,rants zimeanza lini? BOYCOT AZAM TV,BOYCOTT CECAFA
heheheheheheeh uuuwiiiiii,kwa hiyo unatetetea slave masters from tripoili sababu ni waarabu na waislamu????hahahahahahaWatu wanashindwa kutofautisha mkuuu, kinachowatesa hao ndugu zetu wa +, roho mbaya, kisa azam muislam ndio kuleta ujinga wake, ataendelea kusononeka sana dunia hiii
Muda mwingine anaposema mzazi kwamba""nimepata hasara kwa mwanangu, si kwamba mpaka uvute bangi, ulevi, uteja, kwa style km yako ni hasara tu kwa mzazi, maaan husindwi kumueleza bba yako amsusie chakula mama yakoheheheheheheeh uuuwiiiiii,kwa hiyo unatetetea slave masters from tripoili sababu ni waarabu na waislamu????hahahahahaha
Muda mwingine anaposema mzazi kwamba""nimepata hasara kwa mwanangu, si kwamba mpaka uvute bangi, ulevi, uteja, kwa style km yako ni hasara tu kwa mzazi, maaan husindwi kumueleza bba yako amsusie chakula mama yako