Petition: Susia Azam TV, susia CECAFA challenge cup

Shida ni 'inferiority complex', tupaze sauti, Susia Azam, Susia Cecafa challenge cup!
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizi hyo biashara inafanywa na serilal ya libya au kikundi cha watu. Km ni serikal sawa ila km kikund cha watu acha maisha yaende maana serikal na wadau wengne watapaza saut kulaani hyo biashara. Lakini pia km ni kikundi cha watu kwann na Tanzania isiondolewe kwenye mashindano maana kuna watoto karibia 1300 wamepotea kule kibiti, kuna miili mingi tu inaokotwa ufukweni au hyo sio mbaya?
 
Hivi hayo yanafanywa na serikali? Umewahi kuyasikia wakati wa gadafi? Hivi haya yanayotokea nchini mwetu ya kukutwa mili ya watu kwenye viroba mmewahi kutoa tamko kama hili au hayo hayaitaji kupigiwa kelele?
huyo ni mnafiki tu , hana lolote, tz inapngoza kwa double stds,
 
Hivi Walibya walienda kuwachukia hao ndugu zenu kwenye nchi zao.... Badala ya kuangalia mlipotelezea mnaangalia mlipoangukia.
 
Mechi ya Taifa stars na Libya ni saa ngapi wakuu?? Ni chanel ipi ya Azam wanaonyesha?
 
una wazo zuri lakini ukakasi unaanzia hapo uanpohusisha waisrael na waarabu nahisi una hidden agenda, tofauti na kupinga yanayoendelea huko libya
 
Halafu tulisahau kuwasusia na kuwatenga South Africa. Nao walikuwa wanaua na kuchoma moto wageni.

Hakuliona hilo watu wanauawa kama wanyama na kuibiwa bidhaa zao,, ila ya libya ndio kayashupalia. Binafsi naendelea kufatilia michuano hiyo bila kufuata kile anachokitaka. Na bidhaa za Azam nitanunua mpaka basi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…