Petition: Susia Azam TV, susia CECAFA challenge cup

Petition: Susia Azam TV, susia CECAFA challenge cup

Shida ni 'inferiority complex', tupaze sauti, Susia Azam, Susia Cecafa challenge cup!
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu sisusii,,, nitaendelea kuwaunga mkono mpaka amani ipatikane...waLibya wapo katika bara letu na wao pia ni waafrika wenzetu tunawapenda sana na tutaendelea kuwapenda....israel inavyowanyanyasa wapalestina na kuwauwa kama wanyama, mali waislamu wanauliwa kila kukicha lakini sijaona mtu akianzisha mada na kukemea.

Ili ipatikate amani Nchini Libya njia rahisi ni hiyo ya "MWALIKO" pia twendelee kununua bidhaa za Azam
 
Hizi hyo biashara inafanywa na serilal ya libya au kikundi cha watu. Km ni serikal sawa ila km kikund cha watu acha maisha yaende maana serikal na wadau wengne watapaza saut kulaani hyo biashara. Lakini pia km ni kikundi cha watu kwann na Tanzania isiondolewe kwenye mashindano maana kuna watoto karibia 1300 wamepotea kule kibiti, kuna miili mingi tu inaokotwa ufukweni au hyo sio mbaya?
 
Hivi hayo yanafanywa na serikali? Umewahi kuyasikia wakati wa gadafi? Hivi haya yanayotokea nchini mwetu ya kukutwa mili ya watu kwenye viroba mmewahi kutoa tamko kama hili au hayo hayaitaji kupigiwa kelele?
huyo ni mnafiki tu , hana lolote, tz inapngoza kwa double stds,
 
Hivi Walibya walienda kuwachukia hao ndugu zenu kwenye nchi zao.... Badala ya kuangalia mlipotelezea mnaangalia mlipoangukia.
 
Mechi ya Taifa stars na Libya ni saa ngapi wakuu?? Ni chanel ipi ya Azam wanaonyesha?
 
View attachment 641128 Wote najua manajua kinachoendelea huko Libya,sasa hao wapuuzi ni mojawapo ya teams mwalikwakwenye michezo ya cecafa cup inayoanza kenya next week
Wdhamini wakuu ni Azam tv,

Nawaomba ndugu zangu tupaze sauti hao libya waondolewe kama haiwezekani tususie bidhaa za azam na cecafa yao kabisa
Kwa wale ambao wanabisha mbona waarabu hawataki kushirikiana kimichezona israel hadi leo?nasema hivi maana najua kuna watakaosema wachezaji hayawahusu,

Juzi tu mcheza judo wa Iran kaachia apigwe kwa maelekezo ya kocha baada ya kugundua next opponent ni mu israel
Imagine hayo majaamaa ya kiarabu yanatia team nairobi halafu yanafunga goal huku yakishangaliwa,yatatushangaa yenyewe
LETS BOYCOT AZAM TV AND CECAFA
una wazo zuri lakini ukakasi unaanzia hapo uanpohusisha waisrael na waarabu nahisi una hidden agenda, tofauti na kupinga yanayoendelea huko libya
 
Halafu tulisahau kuwasusia na kuwatenga South Africa. Nao walikuwa wanaua na kuchoma moto wageni.

Hakuliona hilo watu wanauawa kama wanyama na kuibiwa bidhaa zao,, ila ya libya ndio kayashupalia. Binafsi naendelea kufatilia michuano hiyo bila kufuata kile anachokitaka. Na bidhaa za Azam nitanunua mpaka basi...
 
Back
Top Bottom