Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
hahahaha Mwl ndiyo huyo huyo amejitutumua bila shaka ana muonesha shemeji D kuwa anaweza mtunza Dada yake! Si ndio huyu huitwa mbeba pochi wa Wema? au Wema ndio mfadhili?
Hivi huyu jamaa ana dili gani hapa bongo?
Ndo wewe
bila shaka una mtindio wewe
Ukiuliza jamaa anafanya kazi gani hapa mjini..utapata majibu mia kidogo..
Hivi huyu jamaa ana dili gani hapa bongo?
Whether you had a VITZ or a BMW, the road remains the same.Whether you travel economy class or business, your destination doesnt change.Whether you have a Titan or a Rolex the time is the same.Whether you have apple, samsung or nokia ya tochi, people who call you remains the same.There is nothing wrong in dreaming a luxurious life.What needs to be taken care of is to not let the NEED become GREED.Because needs can always be met..but greed can never be fulfilledKwi kwi kwi kwi kwi kwi
Baby walker........................
Hongera petiti kwa kuonyesha kujali mkeo
Kweli shoga,zawadi ni zawadi tu hata angempa starlet ndio mkono wake ulipoweza kujikuna.
Kikubwa kaonesha kujali....
Kwahili nampongeza pia.
Una kwashakoo
Mie cjui labda anamshikia mtu mke
Duh, kumshkia mtu mke? kivipi kaka??
Una kwashakoo
Anafanya kazi kwa Wema.
Jamaa linakupa nyumba ndogo yake ukae nayo. Utatoka nayo, utajiachia nayo, na pia unaeza sema ya kwako ila siku akitaka kupiga anakuja tu. Hebu angalia Nuh mziwanda na Shilole
Ndiyo huyu bodyguard wa Wema?
Roho inaniuma sana kuona watu wanapeana zawadi za magari kama ngio ilhali mtanzania mwenzao sina hata baiskeli