Petitman Amuiga Diamond, Ajikakamua na Kumzawadia Mke wake Zawadi ya Gari Siku ya Kuzaliwa Kwake

Petitman Amuiga Diamond, Ajikakamua na Kumzawadia Mke wake Zawadi ya Gari Siku ya Kuzaliwa Kwake

hahahaha Mwl ndiyo huyo huyo amejitutumua bila shaka ana muonesha shemeji D kuwa anaweza mtunza Dada yake! Si ndio huyu huitwa mbeba pochi wa Wema? au Wema ndio mfadhili?

huwezi jua.ndugu yanayoendelea huko behind ze scene, birthday ya wema tuliambiwa.meneja wake bwn Martin Kadinda kampa BMW ha ha ha kumbe meneja mwenyewe BMW anaiona kwenye picha tu kama Evelyn salt hapa lol...
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi

Baby walker........................
Whether you had a VITZ or a BMW, the road remains the same.Whether you travel economy class or business, your destination doesnt change.Whether you have a Titan or a Rolex the time is the same.Whether you have apple, samsung or nokia ya tochi, people who call you remains the same.There is nothing wrong in dreaming a luxurious life.What needs to be taken care of is to not let the NEED become GREED.Because needs can always be met..but greed can never be fulfilled
 
Kweli shoga,zawadi ni zawadi tu hata angempa starlet ndio mkono wake ulipoweza kujikuna.
Kikubwa kaonesha kujali....
Kwahili nampongeza pia.

Kweli kabisaa sio lazima ahonge basi au semitrela bana, ,,,mwanaume akikupenda hata kama hana uwezo atakujali mkono wake unapoishia kujikunaaa
Wengine hawajui hiloo
 
Duh, kumshkia mtu mke? kivipi kaka??

Jamaa linakupa nyumba ndogo yake ukae nayo. Utatoka nayo, utajiachia nayo, na pia unaeza sema ya kwako ila siku akitaka kupiga anakuja tu. Hebu angalia Nuh mziwanda na Shilole
 
Jamaa linakupa nyumba ndogo yake ukae nayo. Utatoka nayo, utajiachia nayo, na pia unaeza sema ya kwako ila siku akitaka kupiga anakuja tu. Hebu angalia Nuh mziwanda na Shilole

Pia wanaitwa washika pembe,mkamuaji mwingineee...
 
Roho inaniuma sana kuona watu wanapeana zawadi za magari kama ngio ilhali mtanzania mwenzao sina hata baiskeli
 
hiyo inaitwa mpende na mjali mkeo kulingana na uwezo wako.....uwezo wake ndiyo huo .
 
Roho inaniuma sana kuona watu wanapeana zawadi za magari kama ngio ilhali mtanzania mwenzao sina hata baiskeli

Roho isikuume dogo, bong'oa panuwa na wewe utakuwa unabadili magari kama chupi.
 
Back
Top Bottom