The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 896 Reaction score 1,427 Mar 4, 2025 #1 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi.Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi.Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,533 Reaction score 6,562 Mar 4, 2025 #2 Jerry slaa Sura yako utaficha wapi barabara za Jimbo lako mbovuuu sana miaka minne hijafanya kitu
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Mar 4, 2025 #3 Wajumbe ni wachache na ndio wanaoamua yote. Halafu NEC inaenda kupigilia msumari. Maamuzi ya sanduku la kura yanakuwa hayana maana tena, ni kutimiza wajibu tu.
Wajumbe ni wachache na ndio wanaoamua yote. Halafu NEC inaenda kupigilia msumari. Maamuzi ya sanduku la kura yanakuwa hayana maana tena, ni kutimiza wajibu tu.