Petro Magoti kupiga marufuku pikipiki kubeba mkaa, nimewaza Mtanzania wa hali ya chini na namna sahihi ya kuwa na hekima juu ya sera ya mazingira

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam ndugu zangu: Leo asubuhi nimepita kwa bwana Millard Ayo, nikakutana na hii clip ya bwana Petro Magoti (mkuu wa wilaya ya Kisarawe) akieleza juu ya sheria pamoja na utejelezaji wake katika wilaya ya Kisarawe.

Nimewaza sana na roho imezidi kuniuma sana juu ya hekima ya hawa viongozi wetu, anyways naamini Mungu ataendelea kuwapa hekima.

NB: Kuna mtu mwingine amepost kwenye comment akasema ni bora huyu bwana angebaki kitengo tu.

Yours;
GETRICH BUSINESS CONSULTANTS
(Mawakili na wanasheria, wasajili wa biashara kampuni na taasisi, washauri wa kodi, leseni za biashara na ujenzi, waandaaji wa business plan, Business plan, Business proposal na projects managers) Tupo Ukonga Banana 0710 782874 na 0693 784003
 
View: https://youtu.be/5QpyfzhFAwc?si=oIoPARJzdDukF6Ne
Kuanzia July 10 2024 ni marufuku kwa BODABODA kupakia Mkaa na atakayekamatwa atalipa faini ya Tsh Milioni Moja ( 1,000,000) .

Kwa wale wanaobeba mkaa Kwa kutumia magari mwisho wa kubeba mkaa ni saa 12 jioni ukikamatwa umebeba mkaa zaidi ya saa 12 jioni utakamatwa na kulipa faini ya Tsh Mil1 .

Agizo hili ni mahususi Kwa Wananchi kupunguza kutumia Mkaa Kwa ustawi wa Mazingira na kuhamasisha Wananchi kutumia Nishati ya Gesi

Ndugu zangu taarifa ndio hiyo usijekusema sikujua
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    43.8 KB · Views: 3
Salaam ndugu zangu: Leo asubuhi nimepita kwa bwana Millard Ayo, nikakutana na hii clip ya bwana Petro Magoti (mkuu wa wilaya ya Kisarawe) akieleza juu ya sheria pamoja na utejelezaji wake katika wilaya ya Kisarawe.

Nimewaza sana na roho imezidi kuniuma sana juu ya hekima ya hawa viongozi wetu, Anyways naamini Mungu ataendelea kuwapa hekima,

NB; Kuna mtu mwingine amepost kwenye comment akasema ni bora huyu bwana angebaki kitengo tuu.

View attachment 3038359

Yours;
GETRICH BUSINESS CONSULTANTS
(Mawakili na wanasheria, wasajili wa biashara kampuni na taasisi, washauri wa kodi, leseni za biashara na ujenzi, waandaaji wa business plan, Business plan, Business proposal na projects managers) Tupo Ukonga Banana 0710 782874 na 0693 784003
Yaani hawa viongozi wanajisahau sana wanaona kila mtu anamshahara kama wao..

hii maana yake tunaviongozi hawajui hata hali za wananchi wanaowaongoza..sad isee!
Vyeo vya kugawana hivi kama fadhira ni shida!
 
Badala kurahisisha maisha kwa wananchi wao wana complicate kwa visheria vyao
 
unataka piki piki zibebe nini sasa?, na kwanini zisibebe mkaa kama gharama za usafirishaji ni rahisi. Je, anataka baiskeli zirudi upya haoni huko ni kurudishana nyuma?.

Mkaa haujakatazwa bali piki piki ndio zimekatazwa kubeba mkaa, swali ni je, sababu iliyotolewa ina mashikoo?
 
Salaam ndugu zangu: Leo asubuhi nimepita kwa bwana Millard Ayo, nikakutana na hii clip ya bwana Petro Magoti (mkuu wa wilaya ya Kisarawe) akieleza juu ya sheria pamoja na utejelezaji wake katika wilaya ya Kisarawe.

Nimewaza sana na roho imezidi kuniuma sana juu ya hekima ya hawa viongozi wetu, anyways naamini Mungu ataendelea kuwapa hekima.

NB: Kuna mtu mwingine amepost kwenye comment akasema ni bora huyu bwana angebaki kitengo tu.

View attachment 3038359

Yours;
GETRICH BUSINESS CONSULTANTS
(Mawakili na wanasheria, wasajili wa biashara kampuni na taasisi, washauri wa kodi, leseni za biashara na ujenzi, waandaaji wa business plan, Business plan, Business proposal na projects managers) Tupo Ukonga Banana 0710 782874 na 0693 784003

View: https://www.instagram.com/reel/C9Rc1EDCbn-/?igsh=MW1jc3h5cmh5amQzNg==
 
Back
Top Bottom