Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dc ndio maana kaondolewa ikulu, kichwani si mzima.
Shusheni bei ya umeme muone kama kuna mtu atahangaika kutumia mkaa.
Ameona Kwa asilimia kubwa mkaa ubabebwa na BODABODASasa kama lengo ni kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala tofauti na mkaa hilo linahusiana vipi na bodaboda kubeba mkaa?
Aliyoshiba hamjui mwenyenjaaKweli ndege wafananao huruka pamoja! Kwa hiyo huyu alikuwa msaidizi wa rais ikulu?
Aiambie selikali yake ya chura kiziwi ipunguze bei ya gesi na umeme aone kama kuna mtu atahangaika na mamikaa hayo
Hqtaree sana kulewa madarakamm pia nimeshangaa huyu mtu alikuwa ikulu na ndio mshauri wa rais kabisa sad!
Suluisho mshaletewa gasiHaya ndio mambo Nyerere alikua anakataa. Unapozuia jambo uwe na suluhisho. Sio unawafungia watu soko halafu huna pakuwapeleka.