Petro Magoti kupiga marufuku pikipiki kubeba mkaa, nimewaza Mtanzania wa hali ya chini na namna sahihi ya kuwa na hekima juu ya sera ya mazingira

Petro Magoti kupiga marufuku pikipiki kubeba mkaa, nimewaza Mtanzania wa hali ya chini na namna sahihi ya kuwa na hekima juu ya sera ya mazingira

DC mbona unataka kutukimbizia kura zetu uchaguzi wa serikali za mitaa?! Bad timing mama amekosea kwa huyu .. anafaa utendaji na si uongozi
 
Kuna viongozi hawana maono kabisa
Akili za miafrika yote sawa
Kama ana akili angesema tupande miti milioni moja kwa wiki

Kama hamjui kuna Mkanada alipanda miti 23,060 kwa masaa 24 na kuvunja rekodi

Sasa huyu jamaa anadhani kuzuia mkaa ni suluhisho
Watu wanachoma misitu kila leo

Ujinga mzigo
 
Kweli ndege wafananao huruka pamoja! Kwa hiyo huyu alikuwa msaidizi wa rais ikulu?

Aiambie selikali yake ya chura kiziwi ipunguze bei ya gesi na umeme aone kama kuna mtu atahangaika na mamikaa hayo
 
Kweli ndege wafananao huruka pamoja! Kwa hiyo huyu alikuwa msaidizi wa rais ikulu?

Aiambie selikali yake ya chura kiziwi ipunguze bei ya gesi na umeme aone kama kuna mtu atahangaika na mamikaa hayo
Aliyoshiba hamjui mwenyenjaa
 
Shida sio bangi wanaofwata kuvuta bangi
 
Tunakoelekea mahindi tutachoma kwa gas, tukitaka kuota moto tutaota gas,
si wa vijijini huku
 
Viongozi kwa matamko hawajambo, mambo muhimu hawakemei wala kuyafatilia ila hizi mambo uchwara za kutaka sifa ndio nambari uno
 
Back
Top Bottom