Petrol in Tanzania Ksh 95. Uganda Ksh 101. Kenya is going to be Ksh 108

Petrol in Tanzania Ksh 95. Uganda Ksh 101. Kenya is going to be Ksh 108

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Economists help us understand this
2018-02-16_11.35.44.jpg
 
It's a demand and supply thing, but wanafaa kupunguza bei ya Mafuta bana... Na hio Tusker inauzwa 90 weuh... Hapa watu wangekunywa ile baya..
 
It's a demand and supply thing, but wanafaa kupunguza bei ya Mafuta bana... Na hio Tusker inauzwa 90 weuh... Hapa watu wangekunywa ile baya..
Its very true. Mimi Uganda naenda sana. Beer in Uganda is cheap. Africa Uganda ni wa pili kwa matumizi ya pombe. Vilevi Uganda viko cheap
Screenshot_20180216-122635.png
 
Huwezi linganisha bei ya petrol za lower middle class na LDC.
Enda nigeria,SA,ghana ujione mwenyewe.
Ata nchi zilizoendelea kama US na Canada bei iko juu sana
 
Huwezi linganisha bei ya petrol za lower middle class na LDC.
Enda nigeria,SA,ghana ujione mwenyewe.
Ata nchi zilizoendelea kama US na Canada bei iko juu sana
Hivi kwa nini unachangia mada bila kufanya research.??US fuel prices haziko regulated lakini bado prices zao ziko chini kuliko sisi.

In US one liter of Pretol ni $ 0.87 sawa na Ksh 88.09. Hoja yako haina maana.
Screenshot_20180216-125341.png
Screenshot_20180216-125535.png
 
Kenya haina pesa lazima taxes ziwekwe Juu zaidi ili serikari ipate hela. Ndege na magari kubwa kubwa za uhuru na ruto lazima ziwekwe mafuta na mkaaji wa kibera
Wewe kama huwezi tumia ile username yako ya kawaida, basi ishia tu, acha ushamba, ukabila na ujinga , ongeza na ujinga mwingine juu yake! Yaani jf nzima hakuna mtu yeyote mwingine ambaye username yake inaanza na jina la kabila lolote lile.
 
Back
Top Bottom