Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

Mpaka kufika mwishoni mwa mwaka itagonga 4000+ per litre,ukiongea unaitwa sukuma gang, cha ajabu mpaka hao waliokuwa wanawaita wenzao sukuma gang nao wanalalamika manake mimi nilizani wanaishi Burundi.

Hii ngoma bado mwakani Bi mkubwa akicheka nao ngoma inafika mpaka 5000 per litre.
Trust me kama vita itaendelea mwezi wa kumi tu hapa bei itakuwa ni hiyo elfu nne
 
Uchunguzi wangu mdogo inaonyesha kwamba kwa mwezi huu wa Mei
Dar
✅Petrol ni Sh. 3100+
✅Diesel Sh 3200+
Nairobi ✅Petrol 144+ Ksh=2884Tsh
✅Diesel 125.5= 2503Tsh.
Mombasa ✅Petrol Ksh. 142=2850Tsh
✅Diesel Ksh. 123=2463Tsh
Bado sijaelewa sababu ya hii difference ilihali wote tunasingizia vita ya Ukrain na Urusi
Unasema Kenya wakati tuna Zanzibar tu hapo.
 
Hujui kuwa kuna vita Ukraine?
Ushajiuliza hiyo vita inaisha lini kwani ikiendelea lwa miaka mitano, ushajiuliza bei itakuwa shilingi ngapi ,manake bei mdani ya wiki mbili ishaongezeka karibia 400? Issue sio vita bali mipango ya kukabiliana na hii hali.
 
Back
Top Bottom