Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

Trust me kama vita itaendelea mwezi wa kumi tu hapa bei itakuwa ni hiyo elfu nne
 
Unasema Kenya wakati tuna Zanzibar tu hapo.
 
Hujui kuwa kuna vita Ukraine?
Ushajiuliza hiyo vita inaisha lini kwani ikiendelea lwa miaka mitano, ushajiuliza bei itakuwa shilingi ngapi ,manake bei mdani ya wiki mbili ishaongezeka karibia 400? Issue sio vita bali mipango ya kukabiliana na hii hali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…