Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Oct 8, 2012 #21 King Kong III said: Kuna rafiki yangu kutoka japani amenitumia Gari GX110 D-4 Engine sasa nisingeweza kulikataa,Je sehemu gani wanauza mafuta yasiyochakachuliwa? Click to expand... Nina wasiwasi na hii engine...siyo BEAMS-2000 kweli?
King Kong III said: Kuna rafiki yangu kutoka japani amenitumia Gari GX110 D-4 Engine sasa nisingeweza kulikataa,Je sehemu gani wanauza mafuta yasiyochakachuliwa? Click to expand... Nina wasiwasi na hii engine...siyo BEAMS-2000 kweli?
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 8, 2012 Thread starter #22 Safari_ni_Safari said: Nina wasiwasi na hii engine...siyo BEAMS-2000 kweli? Click to expand... Gx110 wana version mbili Beam2000 cc2000 na D-4 cc2500.
Safari_ni_Safari said: Nina wasiwasi na hii engine...siyo BEAMS-2000 kweli? Click to expand... Gx110 wana version mbili Beam2000 cc2000 na D-4 cc2500.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Oct 8, 2012 #23 King Kong III said: Gx110 wana version mbili Beam2000 cc2000 na D-4 cc2500. Click to expand... Hilo jiko bomu kabisa kama ni 2500cc
King Kong III said: Gx110 wana version mbili Beam2000 cc2000 na D-4 cc2500. Click to expand... Hilo jiko bomu kabisa kama ni 2500cc
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 8, 2012 Thread starter #24 Daudi mchambuzi said: Okey tushajua una gari. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Daudi Gari siku hizi ni kitu cha kawaida sana kuwa nacho na sio anasa!!! Labda tu aina ndio cha kushangaa maana wengine wana vogue,escalade,hummer,lamborgin,wengine wana limosine,maybach,Aston Martin and the like.
Daudi mchambuzi said: Okey tushajua una gari. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Daudi Gari siku hizi ni kitu cha kawaida sana kuwa nacho na sio anasa!!! Labda tu aina ndio cha kushangaa maana wengine wana vogue,escalade,hummer,lamborgin,wengine wana limosine,maybach,Aston Martin and the like.