Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Kuna rafiki yangu kutoka japani amenitumia Gari GX110 D-4 Engine sasa nisingeweza kulikataa,Je sehemu gani wanauza mafuta yasiyochakachuliwa?
Nina wasiwasi na hii engine...siyo BEAMS-2000 kweli?