Petrol station zinatumia mfumo kwa kadi

Petrol station zinatumia mfumo kwa kadi

upande wa Total nikihitaji card napataje? .

Nenda kituo chochote cha Total watakupa maelezo. Ila unapaswa kuwa na TZS 23,600 (hii ni kama bei ya kadi), minimum deposit ya TZS 100,000 (unaweza kuweka zaidi) na copy ya certificate yako ya TIN.
 
kwanini vituo vya kuuzia mafuta vinaitwa petrol station wakati wanauza diesel na mafuta ya taa?
 
Kwa ninavyojua point of sales (pos ) hakuna makato, no direct transaction , hata kama utafanya multi transaction as long as no pos hakuna makato

Ulishakagua bank statement zako baada ya kufanya miamala kwenye POS?
Mimi nimekagua na kuna makato kwenye akaunti! Ni makubwa kuliko kutoa hela kwenye ATM.
 
Ulishakagua bank statement zako baada ya kufanya miamala kwenye POS?
Mimi nimekagua na kuna makato kwenye akaunti! Ni makubwa kuliko kutoa hela kwenye ATM.
Kuhusu Pos nimekagua na kukagua sijawai katwa kwenye point of sales , huwa nasafiri nchi za sadc na kadi ya bank. Na matumizi yangu yote kuanzia mafuta mpaka super markets huwa na swipe card tu, nitakatwa equivalent to dolar rate ya siku hiyo , but no extra costs
Ila ukitoa hela nje ya tz ,nadhan makato ni kama tsh 5400 per transaction, ndio maana na avoid sana kutoa pesa Atm
 
Labda benki yako haikati.
Natumia NBC nakatwa nilipiapo bidhaa ama huduma kwenye POS.
 
Labda benki yako haikati.
Natumia NBC nakatwa nilipiapo bidhaa ama huduma kwenye POS.
Mimi natumia Nmb , mwez wa tisa nilikuwa zambia ,zimbabwe na namibia , nimetumia kadi yangu kwa matumizi ya POS , sehemu nyingi sana kuanzia petrol stations , supermarkets hadi kfc , nilipokuja kupata statment pos zote sikuchajiwa zaidi ya kufanya conversion ya dollar to shillings
Ila nilipotumia MasterCard atm withdrawal ndo nikakutana na charges
 
  • Thanks
Reactions: RR
Me uwa nashangaa gari ukiweka P kwenye kituo cha Mafuta mfuniko wa kuwekea mafuta unajifungua.
 
Back
Top Bottom