upande wa Total nikihitaji card napataje? .
kwanini vituo vya kuuzia mafuta vinaitwa petrol station wakati wanauza diesel na mafuta ya taa?
Kwa ninavyojua point of sales (pos ) hakuna makato, no direct transaction , hata kama utafanya multi transaction as long as no pos hakuna makato
Kuhusu Pos nimekagua na kukagua sijawai katwa kwenye point of sales , huwa nasafiri nchi za sadc na kadi ya bank. Na matumizi yangu yote kuanzia mafuta mpaka super markets huwa na swipe card tu, nitakatwa equivalent to dolar rate ya siku hiyo , but no extra costsUlishakagua bank statement zako baada ya kufanya miamala kwenye POS?
Mimi nimekagua na kuna makato kwenye akaunti! Ni makubwa kuliko kutoa hela kwenye ATM.
Kuhusu Pos nimekagua na kukagua sijawai katwa kwenye point of sales , huwa nasafiri nchi za sadc na kadi ya bank. Na matumizi yangu yote kuanzia mafuta mpaka super markets huwa na swipe card tu, nitakatwa equivalent to dolar rate ya siku hiyo , but no extra costs
Ila ukitoa hela nje ya tz ,nadhan makato ni kama tsh 5400 per transaction, ndio maana na avoid sana kutoa pesa Atm
Mimi natumia Nmb , mwez wa tisa nilikuwa zambia ,zimbabwe na namibia , nimetumia kadi yangu kwa matumizi ya POS , sehemu nyingi sana kuanzia petrol stations , supermarkets hadi kfc , nilipokuja kupata statment pos zote sikuchajiwa zaidi ya kufanya conversion ya dollar to shillingsLabda benki yako haikati.
Natumia NBC nakatwa nilipiapo bidhaa ama huduma kwenye POS.