:help:Habari zenu wana jamii,
naombeni msaada mimi ni miongoni mwa wahitimu ktk taasisi ya technologia dar(DIT). na kupata stashahada ya umeme mwaka huu nimekuwa nikiomba kudahiliwa kupitia tcu ili kupata nafasi ya kusoma shahada.
tatizo langu ni kwamba mimi nahitaji shahada ya gesi lkn nimekuwa nikihangaika bila mafanikio kupata chuo kinachotoa elimu hii ya gesi.
naomba mnisaidie nawezaje kuipata elimu hii:help: