Petroleum geosciences

Petroleum geosciences

Umwami

Senior Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
123
Reaction score
68
:help:Habari zenu wana jamii,
naombeni msaada mimi ni miongoni mwa wahitimu ktk taasisi ya technologia dar(DIT). na kupata stashahada ya umeme mwaka huu nimekuwa nikiomba kudahiliwa kupitia tcu ili kupata nafasi ya kusoma shahada.
tatizo langu ni kwamba mimi nahitaji shahada ya gesi lkn nimekuwa nikihangaika bila mafanikio kupata chuo kinachotoa elimu hii ya gesi.
naomba mnisaidie nawezaje kuipata elimu hii:help:
 
UDOM nimeona kuna B.S in petroleum and gaseous eng waweza komaa japo wakubwa wanadai elimu ya udom haina... ktk soko!
 
UD cheki ipo hiyo kitu.
That's the real deal for now.
Hela zake ziko nje nje

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
G.P.A yako ni ndogo... na ndio maana baadhi ya course hazijatokea.
Pia kuna kozi watu wa Diploma wamebaniwa.
 
UDOM nimeona kuna B.S in petroleum and gaseous eng waweza komaa japo wakubwa wanadai elimu ya udom haina... ktk soko!
haina nn?au ndo walewale nackia nackia hujaenda ukajionea,,udom wanatoa kwa sasa wapo had mwka wa tatu,,udsm ndo inaanza mwaka huu.
 
UD cheki ipo hiyo kitu.
That's the real deal for now.
Hela zake ziko nje nje

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Jua obama na yule jamaa wa china washasain mikataba...
 
Back
Top Bottom