Udsm pia cheki web ya necta kuna scholarships za kwenda russia
Udsm pia cheki web ya necta kuna scholarships za kwenda russia
haina nn?au ndo walewale nackia nackia hujaenda ukajionea,,udom wanatoa kwa sasa wapo had mwka wa tatu,,udsm ndo inaanza mwaka huu.UDOM nimeona kuna B.S in petroleum and gaseous eng waweza komaa japo wakubwa wanadai elimu ya udom haina... ktk soko!
UD cheki ipo hiyo kitu.
That's the real deal for now.
Hela zake ziko nje nje
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums