Petroleum Petroleum namba wanaisoma, usichague petroleum

Petroleum inasumbua dunia nzima mkuu, sio mchezo hata Venezuela na Iran ambazo ndio nchi zenye mafuta nako wanaisoma namba
 
Mimi nilisha badrisha kozi muda saivi napiga BAF yangu mzumbe ndio niko mwaka wa pili,
 
Wewe pamambana na hela yote utoboe maisha, achana na ishu ya generalization
 
expand your horizone,tafuteni nchi za mafuta kama UAE..hamtakosa contracts huko..
 
Mkuu wengine tulisha andaa na passport kabisa kupata kazi ni nje ni ngum ile mbaya,
 
You spoke sense, ukasahau kuweka na Petroleum geoscience

SimbaChawene alisha waambia mafuta yako bandarini huko, Kama watakuwa radhi kukagua makontena ya mafuta waendelee.

Anategemewa Sana TPDC lakini naye anatafuta nduguze.
 
Watu tutazeeka tunasubiria kazi za petroleum, hahaaaaaa,

nasikia kuna Law kwenye hio kozi? ni kweli???kwenye ma contract huko??? au purchasing and supply management addition module...ni kweli????...mie nilidhani ni course mojawapo nzuri...sasa kwa sasa hivi kazi gani inalipa huko???
 
Vijana shitukeni mapema hii kitu sio ya kusoma mimi najutia sana kupoteza muda kusomea hii kitu, saizii ndio najuta. Kuna watu kibao Wana masters. Lakini wanasugua benchi
Pole man jiajiri tu petrol ilianzishwa kisiasa na kikwete na prof Muhongo. Ilibaki kidogo tu na mimi nikasome bsc petroleum chemistry nadhani hadi sasa hivi ningekuwa bench nimepauka
 
la mgambo lamgambooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…