Petroleum Petroleum namba wanaisoma, usichague petroleum

MMMM watanzania tusiangalie tu ndani ya nchi yetu,hii degree mbona bado inalipa sana hasa hapo Far East,NZ na Australia bado ni special skills ambayo inaweza kukupa PR permits,mtoa hoja usiwatie watu hofu kama unapenda kuisomea soma tu na ajira panua wigo wako wa kuitafuta,try hata Angola,hapo west Africa etc etc.
Petroleum inasumbua dunia nzima mkuu, sio mchezo hata Venezuela na Iran ambazo ndio nchi zenye mafuta nako wanaisoma namba
 
Petroleum petroleum namba wanaisoma,
Watu wana masters zao namba wanaisoma, watu wana PHD zao namba wanaisoma
Namba shufwa wanazisoma, namba witiri namba tasa
Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma, wewe una kadegree kako, mchezo utauweza?
Wewe unaka bachelor kako mchezo utauweza?, achana na petroleum itakuunguza moyo wako
Mdogo wangu mdogo wangu usiiguse petroleum, hii kitu hii sii kitu hii
Waachie walio igusa waendelee kuisoma namba, usiiguse petroleum namba utaisoma
Watu wenye one za tatu namba wanaisoma, watu wenye one za nne namba wanaisoma
watu wenye one za tano mamba wanaisoma, wewe mwenye ka two hako utauweza mchezo,
Kusoma namba sio mchezo, kawaulize chekechea
Huu ni mwaka wa nane kwa watalaam wa petroleum, bado namba wanazisoma
Kama na wewe wapenda kuzisoma namba basi chagua petroleum,
Petroleum unaipenda na namba utaisoma,
Petroleum ni janga usichague petroleum,
Badirisha kozi haraka usisome petroleum
Ewe kijana wa petroleum uliyepo chuoni,
tunza vizuri bumu lako, bumu tamu jamani litakusaidia wakati wakuzisoma namba.
Kasoda utashushia na tumaji kidogo, huku unaendelea kuzisoma namba.
Kusoma namba ni kazi, ikimbie petroleum
Namalizia kwa kusema, petroleum itakuumiza achana na petroleum.
Naweka karamu chini achana na petroleum,
Usiiguse petroleum engineering, bila huruma itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum chemistry, bila huruma itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum geology, itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Oil and Gas Engineering, itakusomesha namba mtaani,
Ewe ndugu yangu wa petroleum, kama Mechanical engineering ipo nenda kaisome hiyo, hutojuta mtaani.
Usiende huko kwenye Oil and gas, mafuta hayo yatakuchoma yatakubabua huo mwili
Bora ukasome electrical engineering, ukapigwe na short ya umeme.
Mimi nilisha badrisha kozi muda saivi napiga BAF yangu mzumbe ndio niko mwaka wa pili,
 
Wewe pamambana na hela yote utoboe maisha, achana na ishu ya generalization
 
expand your horizone,tafuteni nchi za mafuta kama UAE..hamtakosa contracts huko..
 
MMMM watanzania tusiangalie tu ndani ya nchi yetu,hii degree mbona bado inalipa sana hasa hapo Far East,NZ na Australia bado ni special skills ambayo inaweza kukupa PR permits,mtoa hoja usiwatie watu hofu kama unapenda kuisomea soma tu na ajira panua wigo wako wa kuitafuta,try hata Angola,hapo west Africa etc etc.
Mkuu wengine tulisha andaa na passport kabisa kupata kazi ni nje ni ngum ile mbaya,
 
Petroleum petroleum namba wanaisoma,
Watu wana masters zao namba wanaisoma, watu wana PHD zao namba wanaisoma
Namba shufwa wanazisoma, namba witiri namba tasa
Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma, wewe una kadegree kako, mchezo utauweza?
Wewe unaka bachelor kako mchezo utauweza?, achana na petroleum itakuunguza moyo wako
Mdogo wangu mdogo wangu usiiguse petroleum, hii kitu hii sii kitu hii
Waachie walio igusa waendelee kuisoma namba, usiiguse petroleum namba utaisoma
Watu wenye one za tatu namba wanaisoma, watu wenye one za nne namba wanaisoma
watu wenye one za tano mamba wanaisoma, wewe mwenye ka two hako utauweza mchezo,
Kusoma namba sio mchezo, kawaulize chekechea
Huu ni mwaka wa nane kwa watalaam wa petroleum, bado namba wanazisoma
Kama na wewe wapenda kuzisoma namba basi chagua petroleum,
Petroleum unaipenda na namba utaisoma,
Petroleum ni janga usichague petroleum,
Badirisha kozi haraka usisome petroleum
Ewe kijana wa petroleum uliyepo chuoni,
tunza vizuri bumu lako, bumu tamu jamani litakusaidia wakati wakuzisoma namba.
Kasoda utashushia na tumaji kidogo, huku unaendelea kuzisoma namba.
Kusoma namba ni kazi, ikimbie petroleum
Namalizia kwa kusema, petroleum itakuumiza achana na petroleum.
Naweka karamu chini achana na petroleum,
Usiiguse petroleum engineering, bila huruma itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum chemistry, bila huruma itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum geology, itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Oil and Gas Engineering, itakusomesha namba mtaani,
Ewe ndugu yangu wa petroleum, kama Mechanical engineering ipo nenda kaisome hiyo, hutojuta mtaani.
Usiende huko kwenye Oil and gas, mafuta hayo yatakuchoma yatakubabua huo mwili
Bora ukasome electrical engineering, ukapigwe na short ya umeme.
You spoke sense, ukasahau kuweka na Petroleum geoscience

SimbaChawene alisha waambia mafuta yako bandarini huko, Kama watakuwa radhi kukagua makontena ya mafuta waendelee.

Anategemewa Sana TPDC lakini naye anatafuta nduguze.
 
Watu tutazeeka tunasubiria kazi za petroleum, hahaaaaaa,

nasikia kuna Law kwenye hio kozi? ni kweli???kwenye ma contract huko??? au purchasing and supply management addition module...ni kweli????...mie nilidhani ni course mojawapo nzuri...sasa kwa sasa hivi kazi gani inalipa huko???
 
Vijana shitukeni mapema hii kitu sio ya kusoma mimi najutia sana kupoteza muda kusomea hii kitu, saizii ndio najuta. Kuna watu kibao Wana masters. Lakini wanasugua benchi
Pole man jiajiri tu petrol ilianzishwa kisiasa na kikwete na prof Muhongo. Ilibaki kidogo tu na mimi nikasome bsc petroleum chemistry nadhani hadi sasa hivi ningekuwa bench nimepauka
 
la mgambo lamgambooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom