Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunawaza mechi ya Tarehe 11.Mayele na Morrison.Petrol ikifika elfu tano Lita sio mbaya.Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake?! Tutaishia wapi?! Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya….
Mkuu pesa zimejaa mtaani. Halafu hao watakuwa wachochezi tu, sie mbona twafurahia maisha.Ila sinasikia mifuko yenu sasa hivi imejaa pesa? Kama pesa ipo wacha bei zipande tu.
Bei juu sanaVifaa vya ujenzi bei juu...?!
Nchi imefunguka wacha walielie tuMkuu pesa zimejaa mtaani. Halafu hao watakuwa wachochezi tu, sie mbona twafurahia maisha.
Wacha wafanye lita ya diesel ifike hata 5,000 Tsh sie bado tutajaza full tank kwenye maV8 yetu.
Kazi iendelee
Hapana... Jiwe aliiharibu hii nchi sana... Mama anaiweka sawaWapinzani walituchelewesha sana
Yes...aanzishe Tozo ya COVID-19 kupunguza makali ya COVID-19 kwa serikali.Mama anaponya nchi.
Inabidi aongeze tozo zaidi ili tujenge nchi.