Nguvuyabwana
Senior Member
- Jun 6, 2019
- 195
- 483
Kaka mbona kama unakaza kichwa sana mkuu!. 🙄Yaan unamiliki gar hata spare hujui wap inapatkana....JE NI YAKO KWELI????.....weka evidence if ww ndo owner..!!
Sio anakaza kichwa, kabla ya kununua gari, uliza wapi spare zinapatikanaKaka mbona kama unakaza kichwa sana mkuu!. 🙄
ilikuwa ipi kati ya hiziBaba angu alikuwa na gari hiyo miaka hiyo
Alikuwa analipenda sana
Dah hizi gari chenga sana, bro tafuta ela nunua ing