Nguvuyabwana
Senior Member
- Jun 6, 2019
- 195
- 483
Wakuu habari za wakati huu!. Naomba mwenye kufahamu ni wapi naweza pata control box ya hii gari.
Kuna moja nilipata kwa mtu kutoka kenya, imefungwa lakini haipigi ress kabisa.
Kuna moja nilipata kwa mtu kutoka kenya, imefungwa lakini haipigi ress kabisa.