Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Hmn! Kaka nimependezwa sana na muundo wa kiswahili chako! Naomba unifunze! Ila kuna mambo sikubaliani nayo, mfano katika kuzingatia uchumi vigezo vinavyo zingatiwa ni tofauti sana na ulivyotaja wewe, fresh kwamba umetaja maasai, Kama Kenya wamasaai hupatikani hasa Kajiado, Na kulingana na takwimu Kajiado county ndio tajiri zaidi Kenya, kumanisha utajiri wote, ardhi, wanyama na kadhalika huzingatiwa katika kuorodhesha level za utajiri mahali popote!
 
Ndugu E. Wanjala, kwanza asante kwa kunielewa na kuhtaji kujua zaidi. Hii dunia ina mambo mengi sana yasiyo na uthabiti, mantiki wala ukweli. Nilichomaanisha hapo ni kwamba vigezo tulivyopachikiwa ktk upimaji wa uchumi na maendeleo (IMF na WB) haviko sahihi na tunavyokimbizana navyo havitatunufaisha lolote lile. Watu wetu ktk mifumo hii wataendelea kuwa hivi hivi daima, hayo wanayotuaminisha kuwa ndo maendeleo yatawaacha wengi wakiwa ni watumwa kwa wengine tena wasioweza kujikwamua tena. Nchi inaweza ikawa na mabilionea watatu tu na waliobaki wote hata wawe millions maskini na ikawa na GDP kubwa na ikaonwa kuwa imeendelea ni ujinga kama huo. Vigezo vya maendeleo vingepimwa kwa watu tu, hapo ungeona jinsi Botswana ilivyo juu kuizidi India.
 
hawa vijana wa wili Ndugu Kenyatta na Rutto ni vichwa sana.

Ni watu wa vitendo na siyo bla bla, Eko Kenya Bg Up Mr Prezdnt.
 

Sasa hii tamthilia yote ya nini?,.....hahaha!
 
Lala ilijua Kenya has stagnated on manufacturing for the last ten years.
True, and within all that period of stagnation, Tz hasnt quite managed to get even close to Kenya in that aspect! Kenya still dominates the whole east and central Africa region in terms of industrialization!
 
Na hii ukipewa utaitupa? Exchange rate ya hiyo pesa is 10x more than kenyan, lakini uchumi wao uko planet nyingine ukilinganisha na Kenyan.

So, what is your point? Do not try to compare Korea/Japan with Tanzania's currency situation.
S. Korea currency is more traded in the world currency market BY FAR than Tanzania's, S.Korea is more advanced economically and even Kenya imports more of their goods than we export to them......Both Korea and Japan economies are export based, unlike Tanzania's.

Tanzania is ,on the other hand a backwaters country. Who really would give a damn about your currency?
 
Una uhakika tatizo hilo halipo hata humo Tanzania? Haya ni matatizo yaliyopo India na Kenya pekee?
Tanzania, ni nchi ya opportunities kwa kila mtu, kila mtu anaweza kuwa yeyote yule,
Kenya has always been the land of opprtunities for all, not just Tanzania. That is the essence of democracy.Kenya ilikataa kukubali sera za ujamaa na kuadopt the free market policy, ili kila mtu awe na uhuru wa kujiendeleza atakavyo. Sera zenu za ujamaa iliwanyima haki watu uhuru hizo, serikali ndio ilikuwa na mamlaka ya kudetermine jinsi watu wangeendeleza maisha yao.
Nakubaliana na wewe hapo. Na kwa hayo yote, ni dhahiri Kenya imeendelea kushinda Tanzania kwa mambo hayo umeyataja hapo.
List of countries by Human Development Index - Wikipedia

Continue ranting bro, but that wont change the fact that Kenya is waay ahead of Tanzania, in terms of everything. Even those problems u have mentioned above are not as pronounced in Kenya as in Tanzania. FACT.
 
Naunga mkono hoja, na nagonga meza ....!!!! Wenzetu tunapashana mitazamo tukija kwenye swala la nini muhimu kwa wananchi wa nchi husika.
 
True, and within all that period of stagnation, Tz hasnt quite managed to get even close to Kenya in that aspect! Kenya still dominates the whole east and central Africa region in terms of industrialization!

This were you guys go wrong, the same decade Uganda and Tanzania have open more new and modern factories. This has resulted to those two countries to import less of Kenyan year on year, and the tread will not stop there, more and more countries in Africa and other part of the world are industrializing.
 
You fail to realise what I was trying to say, the value of currency can't give you a clear picture of the county's economy. Even if your kicking and pushing Tanzanian currency, will you do the to Ugandan currency? Keep in mind, these countries are Kenyan trading partners.

It makes me laugh when see Kenya was one of the last county to rectify single currency protocol EAC-SC. Kenya has been SINGING n DANCING KANINDO with the issue for years just because Kenya couldn't bring it self to have a cash reserve worth of six month goods import. The rest of EAC countries wanted that to be the standard for any country which wants to join EAC-SC, Kenya have lobbied to reduce to three month and it looks like that had a deal. So, is that tells us about Kenyan economy? I bet it does.

EAC money chiefs break ranks over regional currency accord

Kenya cautious about EAC single currency plan
 
My friend Kenya's reserves internationally can feed TZ for Several years! Don't put here things you are not sure of!
 
My friend Kenya's reserves internationally can feed TZ for Several years! Don't put here things you are not sure of!
View attachment 446624
It seems you did not understand what I brought to the table even though it was as clear as whistle. The money which other EAC members states requested to be 6mths worth of import, was in fact foreign currency reserves. Every country has its own amount of money as foreign reserve according to their own central bank requirement. That money will sustain the county in case that particular county ceases production under any circumstances. Sasa, kama Ugandan will only need $3-4bn to sustain it's self for 6 months, Kenya might need $9-10bn to keep that lavish lifestyle you and your other fellow Kenya's can't do without for at least 6 months. That $7bn you just showed us can not go beyond 4 months worth of import of goods and services. Think about importing ... fuel, food, medicine, spare parts, energy, clothing etc. Sio kwamba Kenya ina pesa nyingi zaidi ya EAC wote. It's about if we all go into single currency, and we're all required to set aside money on our individual budgets which can be used to buy goods and services for 6mth non stop, will Kenya afford to do that? Other EAC members said they can, only Kenya couldn't make up her mind. And this brings us to where we all started "Kenyan government is over spending".
 

Kenya has a 4.8 month import cover + 150 mln usd precautionary loan,{ which btw, the rest of you don't qualify to have}. Show me another EA nation with a 5 month import cover...in any month this year, Kenya had a 5.13 cover in November and most of the year. In addition any other nation in EA, well even Africa that has shown so much fiscal responsibility in the last 3 years as much as Kenya. We all know the Nigerian and SA woes at some point.
 
Ni kweli mko juu kwa kila kitu, kila kitu, hata kwa idadi ya wasiojua kusoma na kuandika mko juu, njaa inayoua watu pia mko juu. Hivi gap la masikini na matajiri kati ya Kenya na Tanzania lipi kubwa, Tanzania hatuna masikini fukara kindakindaki akakosa hata ka eneo ka kulima au kuweka kakibanda chache cha mbavu za mbwa, India wapo na inasemekana maskini wa kwanza yuko huko. Nilichokizungumza nilimaanisha wa kunielewa anielewe kwa mawanda mapana kihivyo, rejea post zangu. Nimezungumzia mfumo wa uchumi, Watanzania wanaulaumu mfumo wa sasa, tofauti inayopanuka kati ya matajiri na masikini, ni mfumo wa awali unaowapa kibali hicho sijui kama na wakenya wanalilaumu hili.
 
Halafu kama tutaifunua na historia ya nchi zetu, Tanganyika chini ya Mwingereza na Kenya chini ya Mwingereza, ukijumlisha na yaliyojiri 1977 EAC inavunjika, ni mtu asiyefikiri tu atakayeibeza Tz, hatukuwa kwenye rank yoyote na Kenya, leo Kenya inatishiwa na Tz kila kona na nyingi imezidiwa, maajabu haya. Au wengi humu ni watoto hawayajui haya?
 
True, and within all that period of stagnation, Tz hasnt quite managed to get even close to Kenya in that aspect! Kenya still dominates the whole east and central Africa region in terms of industrialization!
Industrilization Kenya imeanza lini na Tz ilianza lini? Ukishajua hata hako kahistoria tu utajua nani ni nani ktk ukuaji. Soon Kenya itakuwa ni UK ktk historia ya industrilization.
 
Kuna faida gani kupata uhuru wa kujieleza wkt watu hawasomi, hawali, hawana maji, makazi ni vibanda na vijiji viko hovyo?
 
Kuna faida gani kupata uhuru wa kujieleza wkt watu hawasomi, hawali, hawana maji, makazi ni vibanda na vijiji viko hovyo?
. Kilema anamchemka kilema mwenzake...... Can't we Discuss sports for a day??? Yaaaawn!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…