Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Naunga mkono hoja, na nagonga meza ....!!!! Wenzetu tunapashana mitazamo tukija kwenye swala la nini muhimu kwa wananchi wa nchi husika.
Anaepingana na mifumo bora ya maisha ajibu swali hili, tuipime hiyo mifumo ilipofikia kilele cha juu kidogo, Kenya kwa sasa wanasema uchumi wao ndo umenawiri, sawa kwa fikra ya wengi, Tz ulinawiri kufikia 1977, sasa tuyapime maisha ya wa Kenya wa leo na waTz wa 77,wapi walistawi ndani ya nchi yao?
 
Alichotaka kukujulisha ni kwamba thamani ya fedha si kitu ktk uchumi, hii ndo maana thamani ya fedha ya nchi hizo zinafanana na ya Kenya lakini kiuchumi ni nyota na ardhi.
 
. Kilema anamchemka kilema mwenzake...... Can't we Discuss sports for a day??? Yaaaawn!!!
Hatuchekani, tunatahadharishana ya ktk yale yalio ya msingi na msingi zaidi. Haya tunayoyashadadia sasaivi kama sisi wanetu watakuja kuyaponda, huu uchumi umeshafikia hatua nzuri South, je hujavisikia vilio vya akina Malema? Hawadai tena uhuru wa kisiasa bali kiuchumi.
 


With all these fancy numbers you been massaging here, how come it contradict with CKB is saying? As it is, Kenya can't commit or guarantee to a six months worth of import of goods and services. There more countries in Africa who are in better shape economically compare to Kenya, Botswana before the world market crush, they we're holding up to 4 years worth import cover, now they're down to 15 months. Morocco same, Algeria same, even Equatorial Guinea. The loans guarantee is as good as money in someone's else pocket, the day you need it, is the day you'll realise if he meant to give to you or not.
 
Huu Uzi umekaa kikusutana sutana kimbea mbea kama vipi hamieni Instagram
 
Pato la Kenya na pato la Japan ni vitu viwili tofauti, hata ukichukulia South Korea ambao thamani yao ya hela iko chini zaidi, kenya haiwezi hata kuonekana kwenye ramani ya uchumi wa dunia.
Acheni kuilinganisha Japan na vitu vya kijinga
 
Ngoja nikufunulie hili dogo tu, utajiri na ndo mali halisi muhimu duniani ni ardhi, unaijua sheria na sera za ardhi ya Tanzania? Ardhi ni mali ya umma, si private property huku, hapo ndiko fursa kwa kila mwanajamii inapolalia, nilimanisha mambo Kama hayo.
 
Utumbo Utumbo tu vya Facebook hizi. Get out of that damn keyboard all of you and get to work.. .... Kilema anamcheka kilema mwenzake akimwambia vile ako kilema zaidi..... God forgive them.
 
Tatizo linakuja pale wakenya hasa wale "choka mbaya" wanapo jiona wako kwenye nchi inayo ng'ara lulu na dhahabu. Tukitupia jicho kwenye mabadiliko ya katiba yao tuu, kitu ambayo kilitabiruwa kuondoa baadhi ya matatizo yao, unakuta kwamba kilicho tokea sio kile kilichotarajiwa. Dili bado zinapigwa kama kawaida, ukosefu wa kazi bado upo juu sana, uongozi wa nchi bado umeshikikiwa na wenye nacho, ugawanaji wa rasilimali za nchi, haujatokea mpaka leo hii, ukabila tatizo lipo pale pale na mengine mengi. Usipokubali kama kuna tatizo, huta weza kutatua tatizo.
 
Na hawa hilo ndilo tatizo lao kuu, hawataki kumjua adui wa kweli hivyo hawatashinda hii vita, watabadili katiba mara elfu lakini ukweli wa matatizo yatabaki palepale, wataamua kujiridhisha na maendeleo ya vitu na kitakwimu kwenye makaratasi. Kujitambua ndo jambo lililo bora kuliko yote.
 
Kweli mkuu...wanajifanya superiority
 
Well fiscal responsibility demands that you have a fairly diversified economy, the nations you have mentioned depend on minerals, we all know what happened to the commodity market this year. I laud Botswana though. In your previous posts you said the rest of the EA countries were willing to have a six months import cover except Kenya, yet Kenya has been the only nation in EA with the biggest import cover this year. So if it really is true that the rest of you wanted a 6 month cover then you were bluffing or ill informed on your economies capability. It would be prudent, don't you think, to actually ask of someone something that you are also willing and able to do.
 
Wakenya hatupendi kujisifu hasa kwa nchi ambayo pia hufanya biashara na sisi! Ila nyinyi wenyewe wabongo mnatuchokoza! Mnatufanyia bezo eti kama Mombasa inalingana na Dar, ama vijiji kama Mwanza kuvilinganisha na Nakuru! Kujilinganish huku kwenu ndio kunafanya sisi tuwape uhalisia! Kwa kila jambo, bado TZ kidogo mko nyuma! Kielimu, Sheria, Uchumi, Miundo msingi, Lugha, Afya, nk. Nichukue mfano wa michezo tu! Kandanda



Nyuma


Sio rugby, Cricket, Hockey, Volleyball, Athletics, Motorsport, Swimming!! Duuh!
where are your talents kaka zangu???

Look at Kenya!! Diversity














 
Look, Kenya isn't willing to join a single currency bandwagon, wanakubali usoni, lakini moyoni ni dawa chungu. Kenya will loose approximately $100mil a year if she chooses to join the group. Because Kenya has to devalue it's currency so that it's on the same level with the others. It's painful but at the same time Kenya doesn't want to be left behind.
 
Sasa kwa akili yako ilivyondogo mombasa ni jiji la kulinganisha na Dar? ?
nakuru ulinganishe na mwanza. ...hili nalo linahitaji uwe na elimu ya kiwango cha diploma Au degree ???
mda mwingine jieshimu
 
Sasa kwa akili yako ilivyondogo mombasa ni jiji la kulinganisha na Dar? ?
nakuru ulinganishe na mwanza. ...hili nalo linahitaji uwe na elimu ya kiwango cha diploma Au degree ???
mda mwingine jieshimu
Tumechoka na kuwaaibisha! Mkome kujilinganisha na Kenya, maaanake kama si matusi ni lipi lingine mnalo??? Kila wakati mnatufanya tuaibishe jambo ambalo si nzuri, Sasa kama wewe Tuusan? Wewe ndiwe taaban! Ona sasa, Kama ingekuwa eti mko kiwango chetu, ungenikaripia na picha mbadala kama hizi za kwetu! Lahaula matusi tu! Iweje kwa akili yako ulinganishe Mombasa na Dar? Kwa sasa we unaona Jiji lolote Kuanzia Somaliland hadi Durban ambalo lina Marina? Dar hata inajua Marina ni nini? Hivi Mombasa ina Moja nzuli na moja ikijengwa. Kando na hayo Mombasa port utaifanannisha na Dar Port? Ujue sahi mombasa inajenga Cruise ship terminal! Lini dar itafikia kiwango hicho? yaani wewe unaona BRT unafikiria ndivyo Dar imeendelea! Duuh!!!

Marinas




Don't worry we like Bongo music

Sheheena Super Yatch Marina under construction



Developing cruise ship terminal

 
WaTz wakome kabisa kulinganisha viokote vya nchi yao na ulimbwende WA Kenya. Yaani walipojenga gorofa mbili tatu ndo hao hapa kule, Dar es salam imeshinda Nairobi, hahaha, wasojua Nairobi ndo kitovu cha ujenzi humu Africa kwa magorofa. Miundo msingi wako nyuma, si michezo, si elimu, si afya, si uchumi, si ujanja wa wananchi.... Tz mko by nyuma kabisa, kalinganishe Dar es salam na Kampala.
 
Mnaugua wengi nilidhani ni wachache
kwa akili yako ndogo unaona nairobi ndio makao makuu ya Africa. .....huo ni upuuzi uliotukuka!!
 
We sasa ndio umeandika nn au umeandikiwa....akili za tusker hizo
 
Niliwaambia hatawasilinganishe Dar na Mombasa sababu ni aibu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…