Wakenya hatupendi kujisifu hasa kwa nchi ambayo pia hufanya biashara na sisi! Ila nyinyi wenyewe wabongo mnatuchokoza! Mnatufanyia bezo eti kama Mombasa inalingana na Dar, ama vijiji kama Mwanza kuvilinganisha na Nakuru! Kujilinganish huku kwenu ndio kunafanya sisi tuwape uhalisia! Kwa kila jambo, bado TZ kidogo mko nyuma! Kielimu, Sheria, Uchumi, Miundo msingi, Lugha, Afya, nk. Nichukue mfano wa michezo tu! Kandanda
View attachment 446627
Nyuma
View attachment 446626
Sio rugby, Cricket, Hockey, Volleyball, Athletics, Motorsport, Swimming!! Duuh!
where are your talents kaka zangu???
Look at Kenya!! Diversity