Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Naelewa. Lakin je sis hata hiyo assembling ya magari tunacho hata kiwanda kimoja cha uhakika?Mkuu kuna tofauti kati ya ' Assembling ' na ' Manufacturing ' je hao Wakenya wanafanya mojawapo lipi hapo katika hizo Gari za Peugeot?
Mkuu kuna tofauti kati ya ' Assembling ' na ' Manufacturing ' je hao Wakenya wanafanya mojawapo lipi hapo katika hizo Gari za Peugeot?
Fatili kabla hujaropokaNaelewa. Lakin je sis hata hiyo assembling ya magari tunacho hata kiwanda kimoja cha uhakika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa. Lakin je sis hata hiyo assembling ya magari tunacho hata kiwanda kimoja cha uhakika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kaishi huko alafu uache kuleta mambo ya uongo Kenya hakuna kiwanda cha hayo magari bali kuna karakana ya kuyaunganisha tu.Sisi kazi yetu kufukuza wabunge, uchaguzi fake , lakini hii ndiyo kenya, magari ya peugeot yanatengenezwa local
View attachment 1046021
Hata hiyo Assembling yatosha. Kuna ka faida kanapatikana.
Hata hiyo katakana yatosha, Sie tunayo?Nenda kaishi huko alafu uache kuleta mambo ya uongo Kenya hakuna kiwanda cha hayo magari bali kuna karakana ya kuyaunganisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna tofauti kati ya ' Assembling ' na ' Manufacturing ' je hao Wakenya wanafanya mojawapo lipi hapo katika hizo Gari za Peugeot?
Mkuu, hiyo kazi ya ku asembo si inafanyikia kiwandani?Sasa kama kumbe unajua ni kwanini huyo sodoliki ametudanganya ' Kweupe ' tu kuwa Kenya wanatengeneza Gari hizo aina ya ' Peugeot ' wakati wanachokifanya ni ' Assembling ' tu? Kwanini mnapenda kuwafanya Watanzania wa sasa / leo ni Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) namna hii?
Halafu Swali nilimuuliza sodoliki ila nashangaa Wewe umekuja Kujibu tena ukisema kabisa kuwa ' Unaelewa ' je unataka Kunihakikishia kwamba kumbe sodoliki ndiyo Wewe Detective J au? Kaeni mkijua kuwa Watanzania wa leo ni Wajanja, Wasomi na wafuatiliaji wazuri wa Masuala Mtambuka ( Current Affairs ) yote yanayoendelea hapa duniani.
Sasa kama kumbe unajua ni kwanini huyo sodoliki ametudanganya ' Kweupe ' tu kuwa Kenya wanatengeneza Gari hizo aina ya ' Peugeot ' wakati wanachokifanya ni ' Assembling ' tu? Kwanini mnapenda kuwafanya Watanzania wa sasa / leo ni Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) namna hii?
Halafu Swali nilimuuliza sodoliki ila nashangaa Wewe umekuja Kujibu tena ukisema kabisa kuwa ' Unaelewa ' je unataka Kunihakikishia kwamba kumbe sodoliki ndiyo Wewe Detective J au? Kaeni mkijua kuwa Watanzania wa leo ni Wajanja, Wasomi na wafuatiliaji wazuri wa Masuala Mtambuka ( Current Affairs ) yote yanayoendelea hapa duniani.
TATA kipo Pwani,Naelewa. Lakin je sis hata hiyo assembling ya magari tunacho hata kiwanda kimoja cha uhakika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mmefanya lipi kati ya hayo?Mkuu kuna tofauti kati ya ' Assembling ' na ' Manufacturing ' je hao Wakenya wanafanya mojawapo lipi hapo katika hizo Gari za Peugeot?
Nyie watanzania mna karakana ya kuunganisha gari gani?Nenda kaishi huko alafu uache kuleta mambo ya uongo Kenya hakuna kiwanda cha hayo magari bali kuna karakana ya kuyaunganisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hiyo kazi ya ku asembo si inafanyikia kiwandani?
Ww ndio ufutilie kabla ya kuropoka.. why? Sababu foton ni kampuni ya kuunda magari. Ambayo inalengo la kufungua kiwanda la ku assembly magar tanzania.
Acha UJINGA we Mkurya, jibu swali, hiyo asembolingi imefanyikia kiwandani au dukani!? Hayo ya manufacturing au assembling sijui cause hata sisi tuliwahi kua na kitu kama hicho kwa magari ya Scani pale Kibaha miaka ya 80 huko but tulishindwa kukiendesha kama kawaida yetuHivi na Wewe ' nikikudharau ' GENTAMYCINE nitakuwa nimekosea? Hivi huko Vyuo Vikuu mlienda Kufanya nini? Hoja yangu ilikuwa ni ndogo na ' very logical ' Kwake sodoliki ambaye alitaka Kutulisha Matango Pori ( Kutudanganya ) kuwa nchi ya Kenya inatengeneza Gari aina ya Peugeot ndipo nikamuuliza kuwa anajua tofauti ya ' Assembling ' na ' Manufacturing ' mpaka sasa bado hajanijibu hatimaye na Wewe ' Popoma ' tena umerudi kule kule. Huwa nachukia mno ' post ' zangu kupata bahati mbaya na kupitiwa na ' Wapuuzi ' wa hapa na pale.
(Nyumbu) zinatengenezwa wapi? Au huzijui?Ww ndio ufutilie kabla ya kuropoka.. why? Sababu foton ni kampuni ya kuunda magari. Ambayo inalengo la kufungua kiwanda la ku assembly magar tanzania.
Kiwanda hiko bado hakijaanza kujengwa.. hakiko operational bado licha ya foton kuonyesha nia.
Nilichouliza ni tanzania tunacho ambacho ni operational kama hicho ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi kazi yetu kufukuza wabunge, uchaguzi fake , lakini hii ndiyo kenya, magari ya peugeot yanatengenezwa local
View attachment 1046021