Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Naelewa. Lakin je sis hata hiyo assembling ya magari tunacho hata kiwanda kimoja cha uhakika?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kama kumbe unajua ni kwanini huyo sodoliki ametudanganya ' Kweupe ' tu kuwa Kenya wanatengeneza Gari hizo aina ya ' Peugeot ' wakati wanachokifanya ni ' Assembling ' tu? Kwanini mnapenda kuwafanya Watanzania wa sasa / leo ni Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) namna hii?

Halafu Swali nilimuuliza sodoliki ila nashangaa Wewe umekuja Kujibu tena ukisema kabisa kuwa ' Unaelewa ' je unataka Kunihakikishia kwamba kumbe sodoliki ndiyo Wewe Detective J au? Kaeni mkijua kuwa Watanzania wa leo ni Wajanja, Wasomi na wafuatiliaji wazuri wa Masuala Mtambuka ( Current Affairs ) yote yanayoendelea hapa duniani.
 
Mkuu, hiyo kazi ya ku asembo si inafanyikia kiwandani?
 
Aisee humu ndani nina id moja tu jombaa. Huyo sadolini sijui sadoliki simfaham wala usinihusishe nae kabisa maana sina chama.. si mwanamchama wa chama chochote wala upande wa mtu yoyote.

Mm kama mm najua kenya hawatengenezi magari ila wana assembly. Ndio maana nikamuuliza na ss tunacho hata kimoja?
Sasa kama kumbe unajua ni kwanini huyo sodoliki ametudanganya ' Kweupe ' tu kuwa Kenya wanatengeneza Gari hizo aina ya ' Peugeot ' wakati wanachokifanya ni ' Assembling ' tu? Kwanini mnapenda kuwafanya Watanzania wa sasa / leo ni Mangumbaru ( Wajinga ) na Mapopoma ( Wapumbavu ) namna hii?

Halafu Swali nilimuuliza sodoliki ila nashangaa Wewe umekuja Kujibu tena ukisema kabisa kuwa ' Unaelewa ' je unataka Kunihakikishia kwamba kumbe sodoliki ndiyo Wewe Detective J au? Kaeni mkijua kuwa Watanzania wa leo ni Wajanja, Wasomi na wafuatiliaji wazuri wa Masuala Mtambuka ( Current Affairs ) yote yanayoendelea hapa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kaishi huko alafu uache kuleta mambo ya uongo Kenya hakuna kiwanda cha hayo magari bali kuna karakana ya kuyaunganisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watanzania mna karakana ya kuunganisha gari gani?
Kubalini kwamba Kenya imewazidi kwa kila kitu.
1.Kidemokrasia
2.Kidiplomasia
2.Kiuchumi
Kenya ipo juu sana, nyie kazi yenu ni kuteka watu hovyo na kuua upinzani, maendeleo mtayasikia tu kwa wenzenu, serikali ya CCM ina tabia za kichawi, with such a government you'll never ever develop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hiyo kazi ya ku asembo si inafanyikia kiwandani?

Hivi na Wewe ' nikikudharau ' GENTAMYCINE nitakuwa nimekosea? Hivi huko Vyuo Vikuu mlienda Kufanya nini? Hoja yangu ilikuwa ni ndogo na ' very logical ' Kwake sodoliki ambaye alitaka Kutulisha Matango Pori ( Kutudanganya ) kuwa nchi ya Kenya inatengeneza Gari aina ya Peugeot ndipo nikamuuliza kuwa anajua tofauti ya ' Assembling ' na ' Manufacturing ' mpaka sasa bado hajanijibu hatimaye na Wewe ' Popoma ' tena umerudi kule kule. Huwa nachukia mno ' post ' zangu kupata bahati mbaya na kupitiwa na ' Wapuuzi ' wa hapa na pale.
 
Fatili kabla hujaropoka

Unazijua FOTON?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio ufutilie kabla ya kuropoka.. why? Sababu foton ni kampuni ya kuunda magari. Ambayo inalengo la kufungua kiwanda la ku assembly magar tanzania.
Kiwanda hiko bado hakijaanza kujengwa.. hakiko operational bado licha ya foton kuonyesha nia.

Nilichouliza ni tanzania tunacho ambacho ni operational kama hicho ..

Acha UJINGA we Mkurya, jibu swali, hiyo asembolingi imefanyikia kiwandani au dukani!? Hayo ya manufacturing au assembling sijui cause hata sisi tuliwahi kua na kitu kama hicho kwa magari ya Scani pale Kibaha miaka ya 80 huko but tulishindwa kukiendesha kama kawaida yetu
 
Ww ndio ufutilie kabla ya kuropoka.. why? Sababu foton ni kampuni ya kuunda magari. Ambayo inalengo la kufungua kiwanda la ku assembly magar tanzania.
Kiwanda hiko bado hakijaanza kujengwa.. hakiko operational bado licha ya foton kuonyesha nia.

Nilichouliza ni tanzania tunacho ambacho ni operational kama hicho ..

Sent using Jamii Forums mobile app
(Nyumbu) zinatengenezwa wapi? Au huzijui?

Foton cars mbona zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom