Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Sijasema kuwa hazipo... ila kiwanda cha ku assebly hayo magari kipo? Au ndio kiko kwenye mipango ya kujengwa?
Nyumbu ni project ya jeshi imekuwepo siku nyingi yes.sema wamebase sana kwenye magar ya jeshi. What about civilian cars? Lakin je bidhaa zake.. zimepata soko zuri la nje?
(Nyumbu) zinatengenezwa wapi? Au huzijui?

Foton cars mbona zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna tofauti kati ya ' Assembling ' na ' Manufacturing ' je hao Wakenya wanafanya mojawapo lipi hapo katika hizo Gari za Peugeot?
Hata kama ni assembling lakini wanaprovide ajira na mambo yanakwenda. Huwezi kulinganisha na raia wanaowindwa badala ya kulindwa
 
Dar coach wanachonga body tu. Lakin hawana il engine yao.. gear box.. na vitu muhim . Hawana.
Wanachofanya wao wanachukua engine za scania na kuzichongea body.
Which is equvalent to wale jamaa wa KVM ambao wao pia hununua engine kwingine na body wanachongea hapo.

Tunazungumzia viwanda ambavyo vinalet kila kitu ni brand yake. From engine na mazagazaga mengine ni cha kwao.. then wana assemble.
TATA kipo Pwani,
Dar Coach anachonga bus za SCANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ni assembling lakini wanaprovide ajira na mambo yanakwenda. Huwezi kulinganisha na raia wanaowindwa badala ya kulindwa

Acha kutoka nje ya ' Mada ' Wewe ' Hopeless ' Mkubwa. Mada inazungumzia Gari ya Peugeot, Wewe unatuletea ' Upuuzi ' wako wa hizi Siasa za ' Maji Taka ' zilizopo Tanzania kama si Bara zima la Afrika.
 
Mada imehusu UTENGENEZAJI WA MAGARI KWA UJUMLA bila kujali ni ya kivita au sio

Kama nyumbu wameweza kutengeneza Gari tena more ADVANCED IN MILITARY SERVICES watashindwa kutengeneza Normal cars?

Kuhusu assembly Hata Toyota wenyew katk campus yao wanafanya assembly.

Assembly haina Tija saan kwa Tz tunahitaji MANUFACTURING INDUSTRY inayitegemea..

And on top of that Tunaweza kufanya maajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwezikukubali upuuzi km huo km umendelea ungejua tofauti ya kiwanda cha magari na karakana ya kuyaunganisha magari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha kiwanda cha magari na karakana ya kuyaunganisha magari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwezikukubali upuuzi km huo km umendelea ungejua tofauti ya kiwanda cha magari na karakana ya kuyaunganisha magari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali langu, unadharau karakana wakati nyie hamnayo, ukizidiwa Kaa kimya tu, hiyo karakana itaajiri Wakenya wengi na ku boost uchumi, nyie mmefanya nini zaidi ya fitina tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakaa kuwa hatuwezi. Ila swali kwako wenzetu wamewezaje kuwavutia investors kama hao mpaka wamekuja kufungua kiwand acha assebly?

And nani kaku danganya kuwa tanzania hatuhitaj viwanda vya aina hiyo? Au unataka vya vyerehani vinne?
Mtoto lazima aanze na kutambaa kwanza ndipo atembee.
Huwez ukazaliwa na kutembea siku hiyo hiyo. Viwanda vya manufacturing vinahitaj massive investment.. na lazima tupitie kwenye assembly kabla ya kufika manufacturing. One step at a time.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki ukweli Uhuru kenyatta ana itransform kenya through mikopo mikubwaa sana lkn ni mjanja sababu anachujua iyo mikopo ana wekeza ktk sekta ambayo ana amini itampa faida ya kurejesha ilo deni kuna miradi mingi sana ya kimiundombinu ya kuunganisha kenya na nchi zingine hasa landlocked countries HILI ni option nzuri sana anajatibu kuwa zoea mabepari ndio maana UK ali react fasta sana ktk mgogoro wa uganda na rwanda sababu ana amini kule kukilala dakika 1 anapoteza pesa za kurejesha mkopo ...juzi kachukua mkopo mwingine toka france wanawekeza ktj sekta ya umeme nasikia ukiachana na treni, brt ni vizuri kwa raisi wetu juiga hii approach na sio kuwa dhihaki hawa ma donors Kenya wanataka kutupora soko la congo ,burundi kutumia bandari ya dsm wanapanua bandari yao ya mombasa na pia wanaongeza matenki ya kuhifazia mafuta pia wanataka kusafirisha mafuta kupitia ziwa victoria kupitia kisumu yaende kampala bunjumbura kigali hata kinshasa kwa kasi sana na naona Tshirshekedi ameelewa modal ya uhuru ni wazi lazima Tz tuamke kwa kasi sana ikibidi tu speed up SGR yetu mpaka isaka ikibidi tujenge nyingine kuelekea zambia .. JAPO deni lina umma
 
Assembly bro mbona zinafanyika.. Au unatakajee assembly ya aina gani labda

Kitendo cha kutenganisha gari na kulipiga body jipy Technically ni assembly hiyo..

Turud kwenye mada.

Car manufacturing sio Investment ya kutisha saana ni hari ya kuamua tu kuwa nayo.

Investors wanaangalia SERA NA TABIA YA UCHUMI WA TZ

Tukicheki Tz ni ghala au tuite DAMPO la Japanese used Cars example ni Toyota.

Ukija kusema ufungue kiwanda hapa UTAUZA EACH CAR KWA BEI GANI?? ukitoa PRODUCTION COST na ulipe kodi na faida?

Unadhan waTz wanauwezo wa kununua 0Km car?

So Tabia na soko la Tz katik magari ndio chanzo cha kuwa na uhaba wa Manufacturing industries but uwezekano upo na nj very simple


Kenya wapo more ADVANCED katik ushu nzima Ya Kumaintain Economy

Ndio maan unaona gari iliyozid Miak kumi after production hairuhusiwi kuwa IMPORTED KENYA.

pia huchangia ata makampun kufany investment cause uwezekano upo Wa soko la uhakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kuunganisha magari linaweza lisiwe kubwa LAKINI ukweli ni kuwa katika kipindi hiki cha Uhuru Kenyata, yaliyofanyika, hasa kwenye viwanda, ni vigumu kuamini. Tanzania tunapiga ngonjera majukwaani, Wakenya kweli wanajenga nchi ya viwanda. Ukitaka kufanikiwa, kwanza ukubali mapungufu yako, pili uwatambue waliofanikiwa, na tatu ujitunze kutoka kwa waliofanikiwa. Tunatakiwa kujifunza kutoka kwa hawa majirani zetu.

Nilitembezwa mji wa Kitengela nikaoneshwa viwanda vipya vikubwa na vya kati 32, ilikuwa vigumu sana kuamini. Ukizingatia ukweli kuwa Tanzania kiwanda cha mwisho kikubwa kujenga ni cha Dangote. Kuanzia hapo hakuna hata kimoja kilichojengwa. Tumekuwa wajenzi wa viwanda vikubwa majukwaani visivyoonekana ardhini. Hivyo vya Kenya huhitaji kuambiwa wala kuoneshwa maana vinaonekana wazi, sisi vya kwetu ni zaidi 3,000 lakini kuviona ni lazima uwe mtawala.

Mpatapo nafasi, mnaotembelea Kenya, tembeleeni huo mji ambao miaka ya karibuni ukikuwa mji mdogo sana wa mashamba ya maua, ghafla umekuwa mji wa viwanda.
 
Maybe it is simple kwa unavyoona. Lakin top decision makers kule juu hawaoni hivyo.. na hapandio tatizo linapoanzia.
Na kama assembly ni rahis kama unavyosema tungekuwa na maviwanda ya kutosha.

Peugot wana assembly gari .linatoka na km 0.yes hata sis tunaweza.. tena wako watanzania wana uwezo wa kununua gari lenye km 0 wapoo.
Kama sera kwa sasa si nzuri kwa manufacturing.. tu allow assemby while sera zikiendelea kurekebishwa ili manufacturing industry ziwepo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar coach ameingia mkataba na SCANIA wanachukua chasis na engine halafu wanamalizia body, kwa maana nyingine ni sawa na kusema Dar Coach ni assembly point ya SCANIA.
Hata kenya hao peugeout wanakuja na engine zao na kila kitu...ambacho kinatengenezwa kenya labda ni matairi pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…