Assembly bro mbona zinafanyika.. Au unatakajee assembly ya aina gani labda
Kitendo cha kutenganisha gari na kulipiga body jipy Technically ni assembly hiyo..
Turud kwenye mada.
Car manufacturing sio Investment ya kutisha saana ni hari ya kuamua tu kuwa nayo.
Investors wanaangalia SERA NA TABIA YA UCHUMI WA TZ
Tukicheki Tz ni ghala au tuite DAMPO la Japanese used Cars example ni Toyota.
Ukija kusema ufungue kiwanda hapa UTAUZA EACH CAR KWA BEI GANI?? ukitoa PRODUCTION COST na ulipe kodi na faida?
Unadhan waTz wanauwezo wa kununua 0Km car?
So Tabia na soko la Tz katik magari ndio chanzo cha kuwa na uhaba wa Manufacturing industries but uwezekano upo na nj very simple
Kenya wapo more ADVANCED katik ushu nzima Ya Kumaintain Economy
Ndio maan unaona gari iliyozid Miak kumi after production hairuhusiwi kuwa IMPORTED KENYA.
pia huchangia ata makampun kufany investment cause uwezekano upo Wa soko la uhakika.
Sent using
Jamii Forums mobile app