Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

This is the truth .ifike mahal wanasiasa wetu wa swallow their pride na wakubali kuwa yes.. wanaudhaifu.
Maneno mengi vitendo 0.
It time to change kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiwanda cha Dar coach kipo wapi Na Tamco iliishia wapi?
Zamani hapa bongo kulikuwa na viwanda vya maana kuliko kenya. General tyre,......
Dar Coach iko Dar, kuhusu general tyre inatakiwa kiwanda kijengwe upya sio kukarabati ndio maana unaona kimechelewa kufufuliwa
 
Peugot ina transport karibia kila kitu kwenda kuwa assmbled kenya. But yet dar coach si level za peugot. Hapa tunazungumizia car manufacture wakubwa.. heavy industries.
Dar coach wanachofanya ni kutengeneza body that all.
Ila kuiita kuwa assembly point ya scania bado sana.. kwanni? Sababu body si za scania.. scania wa bus na trucks zao kali sana ambazo wana assemble wenyewe.
Dar coach ana weza kuwa mbia tu.. lakin sio assembly point kwa sasa.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hata kwa hiyo hatua sio mbaya. Bado tuna TATA anaassemble gari zake
 
Mkuu kuna tofauti kati ya ' Assembling ' na ' Manufacturing ' je hao Wakenya wanafanya mojawapo lipi hapo katika hizo Gari za Peugeot?
Whatever the case... Jirani [emoji1139] wapo ahead...

Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
 
Yes but we need to go far. Na tungekuwa mbali kama tungekuwa na dhamira. Ila sasa siasa hiz ..


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo yanategemeana mfano changamoto ya umeme itatatua mambo mengi...kama ukipatikana umeme kwa gharama nafuu viwanda vitakua vingi. Mbali na changamoto zingine umeme ndio shida kubwa.
Stiegler's Gorge itakua msaada mkubwa huko mbele
 
Je maelezo ya Mleta Mada / Uzi sodoliki yanafanana na hiki unachokikubali Wewe? Acheni kuwafanaya Watanzania ' Wapuuzi ' na ' Wanadanganyika ' Kiurahisi na tambueni kuwa hapa n JamiiForums a.k.a Home of Great Thinkers sawa?

Tatizo lako ww huwa unadhani ww una akili nyingi kuliko wengine. Jaribu kuheshim na wengine. Hasa usiye mfahamu
 
A DIFFERENCE BETWEEN KENYAN MADE AND KENYAN ASSEMBLED CARS!

A typical Kenyan made car as seen below... Not as the one seen above.

You have been taught to think assembled is not the same as made. Kweli Tanzania ya viwonder.

I've got news for you. This is the 21st century, and not one thing is 100% made in the same place. Most final product factories are essentially assembly plants.

Example.
The iPhone.
Storage and cameras - Made in Japan
RAM and Processor - Korea
Display glass - USA (Corning)
Other components made in Mongolia and Taiwan

Eventually, at the back of the iPhone, we have ''Made in China''.

You'll not find a sticker written 'Assembled in ... ''. It is always ''Made in..''
 
Mbona sie tunatengeneza na ndege aisee,pia Toyota noa soon watatia miguu bongo,achilia mbali kuhusu uke mkakati wa kuwa nchi ya kwanza afrika kutengeneza boti za laxury
 
Kuna mambo yanategemeana mfano changamoto ya umeme itatatua mambo mengi...kama ukipatikana umeme kwa gharama nafuu viwanda vitakua vingi. Mbali na changamoto zingine umeme ndio shida kubwa.
Stiegler's Gorge itakua msaada mkubwa huko mbele
Uradi mpya wa umeme utakuwa kama stepping stone ya kuvutia viwanda. And yes hatuwez kuwa na viwanda kama hata umeme wetu ni wa kimachale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sie tunatengeneza na ndege aisee,pia Toyota noa soon watatia miguu bongo,achilia mbali kuhusu uke mkakati wa kuwa nchi ya kwanza afrika kutengeneza boti za laxury
Sijui umecomment kiutani au serious. Hatuja fika level za kuwa na ndege bado sana. Cha magari hatuna cha ndege?
Lazima tujipange vizur ili tufanye kazi ya uhakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Kenya kitovu cha Africa
Watu mna paranoia
Ndio nchi pekee barani afrika yenye uchumi wa kati usiotegeme mali asili kama madini na mafuta .Kwa lugha nyepesi wazungu huwa wanasema kenya is the most industrilized economy in africa excluding resources based countries like south africa ,Nigeria ,Ghana etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…