Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Haya mambo hayataki hasira, mdogo mdogo tu unapata darasa na dozi inakuingia. Hutajwi kuwa kitovu kiulaini, lazima udhihirishe pakubwa uwezo wako. Wakenya nguvu kazi yetu ndio siri yetu, tunatumia nguvu nyingi kuwaelimisha watoto wetu na kuwawezesha pakubwa.
Tunajituma balaa....

Nafikiri kwa picha utaelewa tu taratibu.

1421373.jpg

0345.jpg
Hii nguvu yenu ni ya wachache? Walio nacho Kenya ndio wanaongezewa, wasionacho kama wewe, mnabaki humu JF mkipiga makofi. Tukutame kwenye finishing line.
 
Bora sisi tuna cha kujivunia, kwamba tumewazidi Wajapani kwa thamani ya hela. Nyie wamewazidi kwa kila kitu....
Pato la Kenya na pato la Japan ni vitu viwili tofauti, hata ukichukulia South Korea ambao thamani yao ya hela iko chini zaidi, kenya haiwezi hata kuonekana kwenye ramani ya uchumi wa dunia.
 
Hii nguvu yenu ni ya wachache? Walio nacho Kenya ndio wanaongezewa, wasionacho kama wewe, mnabaki humu JF mkipiga makofi. Tukutame kwenye finishing line.
Kenya's middle class is the fastest growing in Africa if you don't know!! The Number of Millionaires is growing day out day in! And now we take position four from as low as 15 some three years ago!
Middle.JPG
millionares.JPG

Compare with population and get the improvement index in wealth worthiness
Populations.JPG
 
Kenya's middle class is the fastest growing in Africa if you don't know!! The Number of Millionaires is growing day out day in! And now we take position four from as low as 15 some three years ago!
View attachment 446130 View attachment 446131

Compare with population and get the improvement index in wealth worthiness View attachment 446132
Na nani amekuabia Tanzania ni tofauti, middle class, small business owners, or hata large bussiness are growing in Tanzania too. Where do you think 7% REAL GDP growth coming from?
 
Na nani amekuabia Tanzania ni tofauti, middle class, small business owners, are hata large bussiness are growing Tanzania too. Where do you think 7% REAL GDP growth coming from?

Tanzania is the only country in the world where the Economy grows from 7.9% to 7.2%
 
Na nani amekuabia Tanzania ni tofauti, middle class, small business owners, are hata large bussiness are growing Tanzania too. Where do you think 7% REAL GDP growth coming from?
Did you see Tanzania in any of my data if not in large population? It means you are way back! It is only in your mind thinking things are working out but not! By the way, investors use such data to know where it is profitable do put their businesses, that is why Kenya always wins!! Educated community with money to spend!
If you are a reader, read this and stop deceiving yourself!
Multinationals now turning Nairobi into hub for Africa
 
Tanzania is the only country in the world where the Economy grows from 7.9% to 7.2%
When the last time Kenya saw any economic growth of above 6.5, if it did, it must be before your born.

da3c515dad744b36d94df3783c079ca0.jpg
 
Did you see Tanzania in any of my data if not in large population? It means you are way back! It is only in your mind thinking things are working out but not! By the way, investors use such data to know where it is profitable do put their businesses, that is why Kenya always wins!! Educated community with money to spend!
If you are a reader, read this and stop deceiving yourself!
Multinationals now turning Nairobi into hub for Africa
If kenya was doing really well kwanini wewe Edward Wanjala bado masikini? Kenya manufacturing has flat lined for the past ten years?

d906fc8be9bd61bc5a06756a691b2f06.jpg

Why Kenyans can’t feel effects of rosy economic growth data
 
But you people are Not dreaming??
No, your dreaming, peageot are throwing ideas on the wall to see which one sticks. Europa economy is heading down the hill, they need to look else where. Ngoja uone if they don't shifts cars as they would like to do kama wata kaa hapo. And that is very possible because Chinese are making cars kama wendawazimu. Bado wewe hujaziona, but trust me, soon you'll start seeing Chinese made cars in African roads.
 
I am crossing my fingers. Mmmh. Good story.
 
Depay
Haha,l sawa, but don't cross them to
tight, I hate the idea of loosing your finger for foreign investment.
 
Msifananishe nchi zetu na Japan au Korea mnapoteza mwelekeo. ...
Wale wako na GDP ya trillons of USD uku sie ata 100usd hatujafika ni ujinga tu....tena kuhusu billionaire ndio kabisa hamna
 
Back
Top Bottom